@imran.mfalme: “Basi msiwaogope; maana hakuna jambo lililofunikwa, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana.” — Mathayo 10:26

Imran Mfalme
Imran Mfalme
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 15:08:58 GMT
46505
1260
162
184

Music

Download

Comments

amado.korea_23
amado korea :
relics actually have biblical precedent. 2 Kings 13:20–21 tells us a dead man touched the bones of the prophet Elisha and came back to life
2026-08-21 06:09:48
0
bernadetha.willam
Bernadetha Willam Rushaba :
No matter what Roman Catholic church forever
2026-08-21 07:25:50
0
eng_mwaisa
Eng. Junior :
Orthodox, the best Christian Church ever seen in Ethiopia. 🙏
2026-08-21 00:14:36
1
rich.auntie35
Rich Auntie :
Tumsifu Yesu Kristo wakatoliki wenzangu
2026-08-21 05:53:49
22
ms__joachim
Emiliana Marina Joachim :
Jerome Huss, Martin Luther King…
2026-08-21 06:42:03
0
rabsonmziray
Rabson Mziray :
I am convinced
2026-08-21 03:40:45
0
lordismygod4ever
LordismyGod :
MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU UTUOMBEE SISI WAKOSEFU SASA NA SAA YA KUFA KWETU......AMINA
2026-08-21 01:46:26
14
iddy.gelle
Iddy Gelle :
uislamu hauwezi kuvurugwa
2026-08-20 21:19:33
6
jamrack_92
Jamrack :
Tumsifu Yesu Kristo....
2026-08-20 22:07:09
9
haule.michael
haule michael :
baba bado sijakuelewa kwasababu kkt namakanisa yote ni yametoka katoliki
2026-08-21 04:04:14
6
smokerman742
man moker :
uko sawa watu hawakubali ukweli
2026-08-21 06:55:05
5
fatherbishop0
Fatherbishop✝️☦️ :
orthodox ndo kanisa lakn najiuliza kwann halipo africa
2026-08-21 07:40:27
1
sammy33641
Sammy :
uko sahihi mkuu kunywa soda baridiii
2026-08-20 21:09:33
5
userdaudi10
lipangala :
hakuna dini dunia ni mifumo tu alio uweka binadamu
2026-08-20 23:24:20
2
fadhil.kawambwa
Fadhil Kawambwa :
ujumbe umefika.
2026-08-21 06:51:55
2
user4633313265534
user4633313265534 :
Hawakua wakiitwa Wakristo kaka Walikua ni Wafuasi wa Nabii Issa.
2026-08-21 02:51:50
1
user9190173573925
kevooooo :
vita vyetu si juu ya damu na nyama ,
2026-08-21 05:11:47
0
limitless.adventu0
Limitless Adventures :
kasome historia vizuri. vita ya pili ya Dunia haikuwa na masuala ya udini. na Italy ni catholic chini ya Benito Mussolini ilikuwa mshirika mkubwa wa Germany chini ya Hitler ambao ni Lutheran. issue nyingine kanisa la kwanza la Turkey Lili vamiwa na Jihad na kupotezwa nao na kanisa la ki kristo la muda mrefu ambalo halija chakachuliwa Toka enzi za mitume liko Ethiopia siyo ulaya nenda kafanye research vizuri! la mwisho waumini wote wa ki kristo wanaamini Yesu ni Mwana wa Mungu (Yesu ni Mungu) ref. kasome yohana 1:1-14
2026-08-21 05:27:52
0
officialzairefamily5
Officialzairefamily5 :
kati ya kkkt na catholic nani kaaanza
2026-08-21 07:44:10
0
jbhm_9305
user7232600687533 :
Umemaliza, haya tumsifu Yesu kristu mtumishi. Asante kwa kuona ya rohoni. Sisi tunaenda kwenye jumuiya hapa
2026-08-20 21:24:05
1
amospaul878
amospaul878 :
simamiaa imani yako mzee wangu..unacho kiamini ww usidhani na wengine tutakiamini
2026-08-20 18:45:43
1
emmanuelpaul869
Yahweh :
Mathayo 15 14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
2026-08-21 06:01:24
1
neemabahati2383
Neema Bahati :
Dunia inaelekea hatima
2026-08-20 22:51:23
2
user3476638392515
Henry :
ilikuwaje Sasa Berlin conference ikafanyikia nchi ya Kilutheri?
2026-08-21 06:51:59
1
To see more videos from user @imran.mfalme, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About