mamaee Albert Chalamila 1 - 1 Albert kangwanda amechomoa
2026-08-20 18:50:26
0
Foremost :
Good point
2026-08-20 22:36:43
0
paulkimario7 :
mzee shabiby nina zawadi yako
2026-08-20 21:20:34
8
ADAM LUGUM☆ :
yan inauma sana
2026-08-20 21:02:10
5
Erasto Zawadi :
Serikali tengenezeni ajira Kwa njia zingne sio matukio hili la mabasi ni tukio sio kutengeneza ajira.
Kule kituo kifanyen kama inspection center basi.Kama kweli mnajali abiria mbona mnakua ivyo?Unajali boda boda wa mbezi kwani uko mabasi yanapoenda hamna boda? kama Kuna basi linapak kwenye ofisi za serikali ndyo mlizuie na sio Aya mengine ambapo Wana ofisi zao na serikali iyo iyo imechukua Kodi na kuwapa vibali vya stand izo uko katkat ya mji.
Kingine ni Kosa Gani la kimfumo haya mabasi yamefanya kuingia dar kuchukua abiria?
Mmeshindwa kutengeneza miundo mbinu ya uchukuz kama relief za mizigo ili kuzuia malori kuingia katkat ya miji mnakimbizana na mabasi ambayo hayaweki foleni. Nguvu mnayotumia kwenye mabasi mgeitumia kwenye upanduzi wa bara bara na kuimarisha relief kujenga bandari kavu chalinze ,Dodoma , morogoro na mbagala Kwa mikoa ya kusini ili kuzuia malori katkat ya mji .
2026-08-20 15:56:18
9
baby G🦋❤️ :
Twende nyuma twende mbele hii coment mkiionaaa msome Leo nimetoka Mabibo kupanda gar ya samoja kwende mwanza nimetoka Nyumbani saaa 6:30 kwende mbezi nimefikaaa kimara foleni yake nipo kwenye daladala nafika mbezi nalipiaaa Mia 300 pale napo nakutaaa foleni kufika kwenye gari Tayar gari imetoka dekika 5 nimechelewaaa na siku ipata gar so ni vizur kuweka gari mbezi Ila kinamna frani inatukataaa na tunapoteza nauli nyingi sana kwa sisi ambao atuwezi panda ndege wala treni inauma. Sana kwenye hili 😭😭
2026-08-20 21:59:29
4
__V!CTÒR🍀🇹🇿🇿🇦 :
yeap Asante san Mr shabiby umeongea point sana leo ungekuw karib na mm ningekupa hata 700 ya PEPSI
2026-08-20 21:32:57
2
Isa Ningoma :
viongoz hamuangali tabu za wananchi shida KAMA stend itumike mpange tu utaratibu mzuri lakini sio kuamisha mabasi
2026-08-20 20:23:50
2
fuadabdallah26 :
swadakta mkuu
2026-08-20 21:15:51
2
stanley kadilana :
nasubiria bunge wiki ijao
2026-08-20 20:26:51
2
Lilian Joachim :
tuko masikin tumeumia sanaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-20 15:20:04
2
ZIMBWE JR :
vita ishakuwa ngumu hiii kumeanza kuchangamka
2026-08-20 22:21:52
1
Gifted scents :
kabisa
2026-08-20 15:17:45
1
Wardah🥰 :
magari yarudi mbezi bhn wee
2026-08-20 21:07:56
0
Eden Herbal :
shida ni jam barabaran alaf wanaendesh vibaya sana pia malor yaondok mitaan bna mbagala saiv kuna Bandar kavu folen kila siku
2026-08-20 21:19:13
0
glory Alfred :
woyooooooooo
2026-08-20 22:33:30
0
atifuحياة💪 :
waweke Utaratibu mzuri sio kutoa matamko ya ubabe
2026-08-20 22:17:51
0
Lilian Joachim :
ndio babaaaa
2026-08-20 15:19:14
1
fikirini/ baba h,h :
mwalim alisema kiongozi wauma haifai kufanya biashara
2026-08-20 23:04:07
0
BIN HAQ :
fact
2026-08-20 22:36:00
0
MUYA yusuph :
mpaka kieleweke
2026-08-20 22:18:11
0
Shabani Salehe :
asante baba pambana tutatoboat
2026-08-20 22:41:57
0
user7022955457324 :
Eti una hata basi 🤣🤣🤣 lol!
2026-08-20 22:15:37
0
Freddy 30m :
kweli sema kabisa sis maskini
2026-08-20 22:02:01
0
Upekee Cakes :
Nchi yangu hii🫠
2026-08-20 15:18:56
0
To see more videos from user @buses_arena, please go to the Tikwm
homepage.