aise jmn pole me nikipata mtu anatum msg tamu kama hizi nitampend mileleeeee mungu wajua nilishasem nahitaj aman upendo utulivu wa akil na nafsi kuliko hizo hela zao
2026-08-21 20:12:31
11
aminah🥰 :
2026-08-21 18:30:42
2
Swaumu Ismail :
daaaah ihii situation isikie tu isikupate mapnz Aya yatatuuwa
2026-08-21 17:08:04
2
ngalemi severini* :
inachoma moyo we s
2026-08-21 15:43:38
1
Rehema Daudi :
nyoo ani me nakupolomoshea tusi nako kubembeleza nd siwez hat nikupende veep an
2026-08-21 11:08:34
3
𝑝𝑟𝑒𝑡𝑡𝑖𝑒💫𝑦𝑜𝑢𝑠ℎ💞💖 :
Ila wabongo🙌🙌yaan text zot znatumw kwa saa n dk hiy hiyo duuh😂
2026-08-20 22:21:56
2
shurey@💕🌹 :
kama mm ty ninavyofosi wangu🥺🥺🥺🥺
2026-08-21 21:09:57
1
bundesligaboy6 :
Kwani kua Single ni shingap😂😁
2026-08-23 10:23:33
1
Joseph kazikazi :
dàaaah mwenetu sana yamenikuta mamen
2026-08-21 14:34:26
1
babematy :
hapo mtu anataka kebembelezwa
2026-08-21 17:33:02
1
angelic :
apo ni kujiongeza tyu Amna kingine
2026-08-22 06:34:23
0
Light🥰 :
Ila haya mapenz niliwah pitia ase iskietu kwamwenzio 😭kunamda hata maji ukinywa yana kaba ila huku kupenda daah💔😭
2026-08-21 18:38:22
1
ndahanibahati :
maumivu makubwa mnoo
2026-08-21 16:20:07
0
hukty mimah🤲💫 :
apo usipo fany maamuzi ya kijasili utakua unaumia Kila siku
2026-08-21 20:33:03
0
Maggie Stanley :
😂😂 Nacheka kama mazuri 😁
2026-08-20 18:18:29
1
CHALAB👑✨️ :
yaani huyu ni wangu kabisa
2026-08-21 16:55:42
0
jescar :
sina hamu aliniambia usiku mwema saa 2 kumbe anamshangazi wake 😰😰😰😰
2026-08-21 18:47:04
0
sifa :
wo me siwez kwakweli
2026-08-21 15:23:56
0
Abaa mansouri salafy :
mwanzo alikua mukiongea mpaka saa nane usiku sasa ivi saa moja tu anakwambia amelala, ukimwambia muonane anasema sawa kipenz baada ya hapo kimyaaaaa hadi umtafute tena kisha utasikia ndio kwanza nataka kupika hapa daaaah kwanini umtese mtu wakati una mtu wako mwambie mtu ukweli ni muhimu sana ndio kama hizo meseji
2026-08-21 22:30:59
1
kharifa Jux :
hii situation isikie 2 kwingine ishawah nikuta nilijiona Sina thamani Tenaah
2026-08-21 21:40:13
0
shamimupangan378 :
gudubaiiii😂😂😂
2026-08-21 16:29:26
1
aggy🥰🥰 :
daaah n atar
2026-08-22 11:58:44
1
H D michaa? :
asante kwa kushiliki ndugu my love nawe usijali muda wako utafk
2026-08-23 22:14:59
0
j cute💙💙💙 :
inauma san
2026-08-24 06:48:30
1
To see more videos from user @mufas29, please go to the Tikwm
homepage.