@massoudkhaifan: Hakuna jambo lenye thamani kama kumuomba Allah atusamehe sisi pamoja na wazazi wetu. Katika Ijumaa hii yenye baraka, tumuombe Mola azisafishe nyoyo zetu, azikubali toba zetu na atufunike kwa rehema Zake. 🤲🏽🤍 Allah awahurumie wazazi wetu, walio hai awape afya na baraka, na waliotangulia mbele ya haki awasamehe, awaangazie makaburi yao na awajaalie Pepo ya Firdaus. Aamiin Ya Rabbal ‘Aalamiin. 🌿 #jumaamubarak #foryou #fyp #viral