Upendo pekee hautoshi katika kuchagua Mume au mke sahihi
2026-08-20 19:11:35
6
ummyk :
uko sahihi kakangu upendo pekee hautoshi
2026-08-20 19:52:34
2
Lite-mee :
upendo peke hautoshi baba🙏
2026-08-21 05:58:18
1
user91382240518664 :
me unanikwaza hutak tusevu video zako
2026-08-21 05:01:13
2
Mam :
umenigusa sana
2026-08-21 08:15:29
0
Tumah Zubeir :
ni kweli kaka
2026-08-21 08:07:05
0
leilah :
leo umenichanua🥰
2026-08-21 08:31:32
0
Husna Mataka :
Sahihi brother mtu anawezakua anakupenda lakinii ukimwangalia hafai kua na wewe tabia zake maadili yake hakusaport..kupendwa na kufaa ni vitu 2 tofauti
2026-08-20 20:18:06
1
🇰🇪✌️🇸🇦💪🇵🇸 :
me mnisaidie ile inakua na Mt awal anakukta upo na kaz biashara zako lakin gafla anabadilika hatak uende popote yan so kazin wala kwen wala kwao na anakupa kila kitu anasema anashisdwa kujizuia anakuonea wivu saana🥺🥺hii imekaaje mi nimechoka walai 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-08-20 17:47:14
1
Dee men's fashion :
ni kwel
2026-08-20 16:36:56
0
Zahram6💕💕🤍 :
exactly
2026-08-21 06:28:32
0
Mary cosmetics :
kwel kaka
2026-08-21 08:45:15
0
hadija simati :
kweli asante kakaa
2026-08-21 06:34:14
0
JITA FASHION HUB 👠👗💼👜 :
kweli kbs
2026-08-21 07:31:13
0
madam mamu :
fact
2026-08-21 07:25:20
0
🌹M.R MO :
kaka umeongeya point
2026-08-21 09:12:45
0
Annamumz😘 :
very true 😂😂 wacha nicheke kwanza but huwa waongea facts 😂😂😂 nilikataa kuwa drain na mwanaume atakakuja kwa maisha yangu kama hanifai