@ashmar_quotes: Ewe Mola wetu, tufungulie milango ya riziki kutoka tusikokutarajia. Tujalie riziki ya halali, yenye wingi, baraka na kheri. Wabariki wazazi wetu, familia zetu na wapendwa wetu. Tuondolee madeni, matatizo, huzuni, misukosuko na kila kinachotuzuia kufikia kheri. Ewe Allah, tupe afya, amani ya moyo, maisha yenye baraka na utujaalie kila tunachokihitaji kwa wakati ulio bora Kwako. Usituache tukitegemea nguvu zetu wenyewe hata kwa muda wa kupepesa jicho. Aamiin Ya Rabbal ‘Aalamiin. #fy #contentcreator #duaa #jumaamubarak #trendingvideo @TikTok @tiktok creators
🌸~♡Ashmar~🦋🥰
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 16:37:11 GMT
Music
Download
Comments
heena artist🩶 :
Ameeen in sha Allah 🤲🤲
2026-08-20 19:02:04
0
Moolly❤️ :
aaaamiiin🤲
2026-08-22 04:17:21
0
Sudy Gamba :
amen
2026-08-22 08:43:43
0
aisha Omar mbegu :
amiin inshaallah
2026-08-20 20:36:48
0
suleiman :
Amiin
2026-08-20 22:03:50
0
swabz :
Ameen🤲
2026-08-20 18:02:47
0
Nikahigashionna :
Ameen
2026-08-21 03:23:08
0
ur_bae_nour_shaz :
Amen🤲
2026-08-20 18:31:25
0
To see more videos from user @ashmar_quotes, please go to the Tikwm
homepage.