pole mwaya chozi lko halidondoki buree niamn dunia ni duara my dear
2026-08-20 17:20:52
56
young mkoy :
Pole sana mwenyewe ninao tena umekubuhu
2026-08-21 07:53:38
47
Gift Musa :
achana naye hata yeye nimtarajiwa vilevile 😊
2026-08-21 03:11:21
26
Minnah fundikila :
Ila watu ujuw mwenzio kaupatajee
2026-08-20 21:14:34
16
Mia Glow✨ :
pole kipenz uskute ata yeye anao ila kujitangazia nd hawez kwaiy maneno yao kwako yawe mbolea uzid kustaw mamy
2026-08-20 18:44:22
15
lyaan :
duu Allah azidi kukubariki dada angu kikubwa unajikubali ♥️♥️🫂🌍🔐
2026-08-20 17:01:54
13
chioma4👊 :
allah akupe maisha malef dada angu
2026-08-20 17:58:35
12
mwanaharux :
kawaida dada iy tupo wote
2026-08-20 17:15:12
11
Jay breezey👑 :
Kuanzia leo namludia muumba wangu mtot mzur hv anao duh
2026-08-21 21:31:29
10
Meryam Monero :
usilie bhana sio vizuri pole kpnz
2026-08-21 08:19:39
9
B..P.A.P.Y🔥🥷 :
my sister usijali binadam tumeumbiwa najalibu 🥹mungu yunawe🤟🏿🙏🙏🌹
2026-08-20 17:09:41
9
Kipenzi cha mtu ♥️♥️💕 :
Asikuambie mtu dada kuweka maisha Yako halisi mtandaon nikama unafua dafu mana hakuna mwema kabisa ungebaki kimya tu ndugu yangu sijapenda sio kama wote wanao jipost hawan hapan ila binadamu hatuna jem sisi daah ila pole 😭😭😭🙏🙏
2026-08-21 14:10:15
6
Ramedy254 :
kama kweli umeathirika kweli ningependa Sana kujuwa story yko kiukweli ulivyoupata Kwa kuzaliwa nao au vp... inge inspire wengine pia
2026-08-20 19:05:28
6
chii maa :
Mungu atufanyie weupes kwa kila zito
2026-08-21 14:10:21
5
felister Enosi :
acha wasemee kwasabab wat huwez kuwazuia kuongea pole najua unaumia ila jua naish hayan fund hata yy haijui kesho yake
2026-08-20 17:25:50
5
Aiem niffer🌸 :
mungu akupe maisha mazur na akupe mwisho mwema
2026-08-20 20:20:52
5
conversekid :
usilie dada angu hata Mimi nipo kama ww ten mm nimezaliwa nao but I'm proud of myself
2026-08-21 07:35:35
5
A town kidy😝🙃 :
mi ningee kuowa kabisa mama utuliee maana upendoo ni tibaa ya kila ugojwaaa