mashaa Allah Leo Mzee poyoyo ndo nimekujw Kam brain🤝
2026-08-20 21:29:36
11
Juma said Juma :
Haswaaa
2026-08-21 07:54:08
0
dotto mtoro :
Niwe mkweli, ukiingia kwenye biashara ya riba.... Hii dhambi itakuseta hapahapa duniani wallah, kuna namna utadondoka kiuchumi, utapata hitilafu kubwa yakifedha, mm ni shahidi katika hilo...
2026-08-21 03:38:43
15
Van_monsťer_Xř_✈ :
huu ni ule ukweli mchungu
2026-08-20 21:39:40
17
Tizzy lion 🦁 :
kweli kabisa
2026-08-20 21:07:31
5
Ubaidaa51 :
uhakika 💯
2026-08-20 20:06:44
5
★S/I/D★ ★PERFECT★LABAN :
Ukitaka kuuza cha juu we nunua kwa bei ile kisha uza unavyotaka🙏🙏🙏😇🥰
2026-08-21 08:34:07
1
Naya :
haswaa
2026-08-20 23:12:02
2
KABABAYE :
Nilifanikiwa kufanya kazi kwenye ushirika(Saccos).Tulikuwa tunabidhaa mbili (mkopo wa pikipiki na mkopo wa pesa taslim).Lakini amini yakwamba kila aliyechukua mkopo wa fedha taslim hakuwahi kumaliza na tuliingia kwenye mgogoro kwasababu ya RIBA..
2026-08-21 05:13:26
1
AbuuSuhaib :
nilijua mwisho utaharibu tu
mwisho kabisa umeonesha kuhalalisha kwa gharama za ofisini
2026-08-21 03:23:01
0
chimom chum :
aya shekh
2026-08-20 17:58:48
2
Abdul ghazy Khan :
sure
2026-08-21 07:10:12
0
user1140773882171 :
kabisa
2026-08-21 04:37:17
1
nanah me :
ukwel mchungu
2026-08-21 07:12:04
0
Backira :
kiukweli riba ni zuluma
2026-08-21 07:13:20
0
mjungu org :
mashaallah
2026-08-21 07:37:33
0
Hassan Rajab :
mashallah
2026-08-20 23:41:25
1
Nurdn .zzT F.▫️ :
👍🏻hakika
2026-08-21 04:50:46
0
Maalim jaylani :
kumbe meneno kumi na dini anajua
2026-08-21 05:32:12
0
MpemeJr :
hakika ,lkn watu Leo ndio kazi zao izo mwenyezi mungu awasamehe kama hawajui
2026-08-21 09:33:05
0
30 :
Hadtidhi sahihi Amemlaani m mungu mwenye kula ribba, Na mwenye kuilisha, Na mwenye kuishuhudia, Na mwenye kuiandika. 😭😭
2026-08-21 06:48:43
0
Mecky :
ujumbe umefikah, umesema uhakika kiongozi
2026-08-21 06:38:25
0
ramso :
kweli kabisa
2026-08-21 06:30:51
0
The healing Truth :
ata wakiristo ni ivo ivo Maandiko yako wazi
2026-08-20 21:58:49
2
To see more videos from user @maneno_10, please go to the Tikwm
homepage.