@pastor_kagoro_01: ORODHA YA IMANI POTOFU 6 ZILIZOPO KATIKA MAKANISA YA TANZANIA ZINAZOWAZUIA WATU KUINGIA UFALME WA MUNGU 1. IMANI YA KUSHIKA SIKU YA SABATO Katika Agano la kale,Mungu aliagiza Sheria ya watu kushika siku ya Sabato na kuitakasa. Hii ilikuwa Sheria na walipewa wana wa Israeli kwa mkono wa Musa. Katika Agano Jipya kwa mkono wa Yesu Kristo tunapokea neema na kweli katika imani na katika Agano Jipya kabla ya Bwana Yesu hajafa msalabani alivunja sabato mara nyingi sana Yeye na wanafunzi wake na hii ilikuwa ni ishara kuwa tunahamishwa na kuingia katika Agano la Imani katika Bwana Yesu na kuongozwa na Roho Mtakatifu. Imeandikwa Wagalatia 3:11 [11]Ni dhahiri ya kwamba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za Mungu katika sheria; kwa sababu Mwenye haki ataishi kwa imani. 2. IMANI YA MASHAHIDI WA JEHOVA • kikundi hiki ni maarufu sana kipo kila mahali Katika Dunia hii na wana vitabu vya mnara wa mlinzi. Kikundi hiki wametengeneza biblia zao na kuondoa Jina Bwana na kuweka neno" JEHOVA" na wameondoa maneno kama kuzimu au Jehanamu ya moto. Wana imani kuwa hakuna kuzimu ya moto na Jehanamu ya moto. Nimesoma vitabu vya mnara wa mlinzi na Bwana Yesu haonekani ni Mungu Bali aliumbwa na mwana wa Mungu. Vipeperushi vya Mashahidi wa Jehova na vitabu vya mnara wa mlinzi ni vya kishetani usikubali vikae katika nyumba yako na kuvisoma . Hivi vitabu vina sumu Kali sana kwenye Afya yako ya kiroho usiviguse. Imeandikwa 2 Petro 2:1-2 [1]Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. 3. IMANI YA KARISMATIKI NA KATOLIKI • Katika kikundi hiki watu wananena kwa lugha na kuomba na uponyaji kufanyika kama makanisa ya kilokole lakini jumapili wanaenda kuabudu Sanamu. Unajiulizaji shida nini? . Hiki kikundi kipo chini ya malaika wa Nuru wa SHETANI anayeigiza mambo ya kimungu kusudi watu wabaki kuwa waabudu Sanamu kwa sababu wanaona ishara kama za walokole. 2 Wakorintho 11:14-15 [14]Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. [15]Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao. 4. IMANI YA ROZARI NA BIKIRA MARIA •Kutumia ROZARI ni uchawi kwa Sababu unaomba kwa wafu ambao wamekufa na kuoza wengine wapo kuzimu au wapo mbinguni na hawajui Chochote kinachoendelea duniani. Bikira maria alimzalia Yusuphu watoto wengi lakini mpaka anaitwa Bikira. Hii ni ajabu sana. Bikira maria sio mwombezi wetu Bali Roho Mtakatifu ndiye mwombezi wetu mbele za Bwana Yesu. Bikira maria yupo mbinguni kama Ibrahim na lazaro Usidanganywe na mtu kuwa Kuna watakatifu unapaswa kuwaomba ,unaomba kwa mapepo usiyoyajua Huu ni uchawi na uganga Kutoka 20:3 [3]Usiwe na miungu mingine ila mimi. •Sanamu Ya Bikira maria ni Miungu migeni na ukijenga imani katika SANAMU hii kuomba na kupiga magoti Kusali Rozali ujue Hutaingia ufalme wa Mungu. Usipige goti mbele za kitu hakiongei au hakisikii. Haya ni machukizo mbele za Mungu 5. IMANI YA MAJI, SABUNI, MAFUTA, UDONGO, MISHUMAA ,KATIKA MIUJIZA NA UPONYAJI • Hii sio imani ya kweli kwa sababu uponyaji wa kweli upo katika imani katika Jina la Yesu. Unapojengewa imani hii ndani yako na wewe ukakubali na kuamini na ukasali makanisa haya ya Mafuta na maji ujue Hutaingia ufalme wa Mungu. Matendo ya Mitume 16:18 [18]Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile. 6. IMANI YA KUWA MWANAMKE ANAWEZA KUWA MCHUNGAJI NA KULISHA KUNDI. Ndugu Zangu,Bwana Yesu Kristo hajampa mwanamke ruhusa kuwa mchungaji. Wanawake wachungaji mnaowaona Leo ni kwa sababu ya Uasi unaosababishwa na mafundisho ya theolojia 1 Timotheo 2:12 [12]Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. • Jina la Yesu ndilo limebeba uponyaji na kufunguliwa kwa mtu. #UKWELIHALISI

PASTOR JOHN KAGORO
PASTOR JOHN KAGORO
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 20 August 2026 17:58:50 GMT
21391
292
76
20

Music

Download

Comments

levy0580
Levy :
Nataka niwafundishe kitu kidogo hapa ila ni kikubwa sana kiroho. Mungu ni wa utaratibu sana na akili yake si akili ya mwanadamu. Mungu huwa anatufundisha hatua kwa hatua. mpaka atahakikisha umefika pale unapostahili. unaweza kuwa unaabudu sanamu unasali rozari unaimba sana na hata kuongea chochote unachoweza ila Mungu haangalii hayo kote anaangalia katika hayo yote unayopitia moyo wako unamwadhimisha nani? na matendo yako yanamsadifu nani? wew sali sana jifanye unajua dini zote ila Mungu ni yuleyule miaka milions... hajabadilika anasema hivi mwamini yeye peke yake fanya matendo yaliyo mema kuanzia nafsi yako mpaka kwa wengine utamwona si ukifa tuu hata kabla hujafa utamwona hapa hapa duniani....
2026-08-20 21:34:48
18
position.corner
The Strong one :
Watu wanaopinga SABATO ni wanafiki Maana wanashika sheria zote 9 waanacha moja,,Shika zote ama acha zote acha kuwa vuguvugu.
2026-08-21 05:03:24
7
samoratesha3
Baba DD :
well said
2026-08-21 08:41:54
0
kp7062
KP :
Mojawapo ni kanisa lako wewe mchungaji
2026-08-20 21:03:37
6
zactone5
zac~tone :
kwenye sabato umepuyanga
2026-08-20 20:24:44
1
mr.profito
Mr Profito :
Shida kubwa watu hawajui hata ibada ya sanamu ni nini, yani mfano mimi hapa nikiamua kuitumikia familia yangu nikamsahau Mungu, ntakua kweli natimiza majukumu yangu lakini ninaabudu sanama.. So be careful
2026-08-21 09:22:25
2
user8833027342563
Mr DDM :
sabato itabaki milele na milale had mbinguni itakuwepo
2026-08-21 12:24:33
1
me342982
Me :
Kila mtu ataponywa na Imani yake🙏
2026-08-20 20:39:12
2
goldenlee0
goldlee :
Roman🥺
2026-08-21 15:40:08
0
dulla.black0
dulla black :
nakuamin mtumish
2026-08-20 20:08:29
1
simon.ngala56tiktok.com
SIMON NGALA :
amen
2026-08-20 18:43:09
1
plaxeda.joseph
Plaxeda Joseph :
Kwani Musa alipewa amri tisa
2026-08-21 11:24:43
0
herbertmsangawale
Herbert Msangawale :
nitawezaje kuelewa MTU asiponiongoza
2026-08-21 07:57:30
0
ezranehemiah163
Christopher Alex :
kwer
2026-08-21 12:45:23
0
hayunhamad2
Hayun Hamad :
ungesema na imani ya utatu
2026-08-21 16:13:20
0
da.vi.jonh
David john :
Amina
2026-08-20 18:04:19
0
sajom.ojm
Sajom.ojm :
waebrania 4:9 basi imesalia rahaa ya sabato kwa watu wa mungu kutoka 20:8 ukumbuke siku ya sabato na kuitakasa siku sita Fanya kazi lakini siku ya Saba ni siku ya bwana mungu wako ..
2026-08-21 14:00:27
0
levy0580
Levy :
kama hujapata nafasi ya kutuliza akili ukamjua Mungu katika roho na kweli utahangaika sana. .. endelea kujifunza kunasiku utaelewa usahihi ni upi@ pastor john..
2026-08-20 21:28:50
1
king47ofpeace474
king👑of👑peace :
swala la mafuta yalitumika maji yalitumika hata na yesu mwenyewe shida ni namna ya kutengeneza viungo vya kutengeneza iliyawe matakatifu
2026-08-21 02:43:23
0
theoscleos
Theos Cleos :
nahatugami na mbinguni tutaenda wote ilimrad tumwamini Mungu wapenz
2026-08-21 03:50:01
0
silasi89
silasi :
mtumishi wa mungu unachoongea nakupata kabisa,ubarikiwe mtumish ,hii ndio saut ya mungu,endelea kufanya kazi ya mungu, usiogope saut zamafarisayo ,hata kipindi kile yesu alikutana nayo,nabarikiwa na mafunuo halisi kutoka kwa mungu,amen
2026-08-21 07:30:24
0
chuckymattie255
🙏Charley mathi🇹🇿🇺🇬❤️🥀 :
Mimi sijapata muda wa kusoma mambo ayo yote mu2 mu1 anisaidie kusoma
2026-08-21 06:12:30
0
marrry.daud
Marrry Daud :
Siku za mwisho izo tuliambiwa yakati.za.mwisho tutaona maweng sas ndo haya
2026-08-21 06:17:07
0
d.heaven.444
D heaven 444 :
ufalme Wa Mungu upo ndani yenu, Sio kwenye Dini Wala vitabuni.
2026-08-21 16:21:17
0
user9006683930918
andrew :
amen
2026-08-20 18:42:42
0
To see more videos from user @pastor_kagoro_01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About