@msumbanews: “KINACHOFANYIKA KATORO NI JANGA LA MALEZI” — MH. ANTHONY MTAKA\n\nMkuu wa Mkoa wa Njombe, Mh. Anthony Mtaka, amesema hayo akizungumza katika Kikao cha Kitaifa cha Kamati ya Wanawake ya Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU), kilichofanyika mkoani Njombe. #njombe e #anthonymtaka #rcnjombe
Everything we own here on the planet is temporary watu wanafurahia hustle zao na si kwa ubaya jaman hata wasipofanya hivo bado ipo siku zitaisha au watakufa wataziacha so they have found a new way to celebrate their victory😌
2026-08-20 20:10:14
0
|Son ⭕️f Man| :
Kuna mwalimu juzi hapa kabet kapata 100M kaacha na kazi. Kwangu naona ni ujinga sana kafanya.
2026-08-20 19:49:08
37
christinelema5 :
I said that too
2026-08-20 21:06:51
0
moneyac :
Mtaka for president
2026-08-20 19:45:45
0
Nelson :
Mtaka ana akili kubwa sana...Na Sio mchoyo wa kutoa maarifa
2026-08-20 19:31:42
51
ABDULL JACKSON :
pesa tunazipata kwashida sana ebu mtuache bana😂
2026-08-20 19:35:35
25
Rachel designer ♥️ :
hapa nilipo najiandaa kwenda katoro
2026-08-20 20:26:08
8
oscarmakondo :
Tafuta hela mkuu usingirie maisha ya watu hakuna mtu natafuta kwa mfumo wazamani baba acha watu wafanye kinacho wapendwza
2026-08-20 21:14:52
11
Brian Benard :
pesa zije tu kwangu ntaishi kama Sina.
2026-08-20 19:06:55
24
brightson@diplomat. :
napenda anavyoheshimisha elimu
2026-08-20 19:39:38
18
fikrazajuma :
Wakiuza bandari huzungumzi, ndo shida ya viongozi wanaona makosa ya raia tu ila yao hutasikia,
2026-08-20 19:58:37
17
GENTLE :
Acha watu watumie pesa zao anko
2026-08-20 20:43:32
5
pangraminvestments :
Kwa ufupi inapaswa nchi ikataze michezo ya pesa, kutunza pesa
2026-08-20 18:49:20
32
Vdashjo Investment Co.Ltd :
Mbona huku katoro michezo hii ipotu tangu zamani sana yaani mimi nimekuwa naiona,Sema walikuwa hawasambazi kwenye mitandao
Wapo mpaka sasa na bado wanaendelea na kazi zinakuwatu
2026-08-20 18:55:33
17
⭐️StimaTV🔥📺📡 :
Exactly ✅️✅️✅️
2026-08-20 20:08:20
0
Blaq_focus 📸🎥 :
ifike stage sasa tupunguzeni ushauli uwezi jua miaka kumi nyuma mtu katoka kwenye hali gani kujipongeza kutoka kwenye umsikini na kushika ela nying ambazo ulikua unackia kwenye bajeti za serikalini sio ujinga watu wanatafut kwa tabu...tupunguzeni ushauri bn
2026-08-20 20:11:27
7
Elisha Kato :
Guy’s smart
2026-08-20 19:15:30
0
Nature is life :
Dhahabu siyo Tanzanite Wala Almasi ndugu, Dhahabu mavuno yake ni endelevu. alafu tofautisha mchimbaji na muwekezaji. mwanzo watu hawakuwa na elimu kuhusu madini. saizi wapo advanced mnoo.
2026-08-20 20:09:25
7
Rajabu Turuki issa :
uko sahihi mkuuu Niko nzega hapa wanatia huruma
2026-08-20 19:27:16
23
D FASHION :
Kawaida ya wachimbaji wamejiwekea Imani kuwa tunakula Leo Kesho tutapata Tena ✊🏻
2026-08-20 21:02:21
6
Sudi Salum :
mzee anathema kweli
2026-08-20 18:32:44
25
Silvano Lujegi :
Sisi wa katoro tuna comment wapi?😏😳
2026-08-20 19:55:54
14
Kabembo Tz :
pesa za Majin zile haziwezi kudunu
2026-08-20 19:29:47
6
Simon Daniel :
Kwani hamuoni maguest house yakijengwa, hamuoni hotels na kumbi zikijengwa., hamjui go downs za Katoro. Nadhani tusifananishe miaka hiyo na miaka hii. Katoro wamewekeza.
2026-08-20 19:20:34
6
To see more videos from user @msumbanews, please go to the Tikwm
homepage.