@glamlidamakeup54: Asalam alaykum wapenzi wangu Karibuni kufanya makeup za aina tofauti Wanafunzi napokea Darasa jipya tarehe 01/09/2026 nipo Sogea branch Zanzibar 📲0777370370 karibuni
sasa madam mfno vitu nahitj kununua kwko je nije na bei gn
2026-08-20 18:32:20
0
mwajubeauty :
Mashaallah 🥰
2026-08-20 18:43:02
0
Ladymoo💮 :
umapatikana sogea sehem gani jamani
2026-10-07 10:33:21
0
khaira mamy :
salaam Lida unauza hizo makeup kama hio contuer naitafuta sana sijapata nataka hizo makeup foundation powder na vingine
2026-08-21 10:23:12
1
user5748765774080 :
hiyo kama maji umeweka kwa nyusi ndo kitu gani madame
2026-10-01 09:35:09
0
sityyy henna &makeup :
wifi yng unanikosha mie weeeeh
2026-10-01 09:30:28
0
ziyham :
utaratibu wa malipo ukoje na kwa md gni?
2026-08-21 18:53:26
0
Dadii make up &hinna :
Unapokea wanafunz kipenz
2026-08-21 15:21:01
0
aviihair43 :
wateja igen kwa huyu ametulia amepakwa makeup nzuri Sanaa Kuna wale wa kujikagua mara kuongea mda wote adi lipstick inaenda upande mwisho unaanza kumtoa kasoro mpanbaji🏃🏃🏃
2026-08-23 20:06:53
1
To see more videos from user @glamlidamakeup54, please go to the Tikwm
homepage.