@salmatembo123: 😪😅

@Salmatembo✌
@Salmatembo✌
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 18:32:36 GMT
455135
17497
1294
2652

Music

Download

Comments

janethjoseph53
Jennie 🦋 :
wakwangu kashajua na kwa majiran mchana nmerud cjamkuta 😁😁😁😁
2026-08-22 19:03:34
96
justinagwello
RenePrecious :
sasa mtu asijiskie yupo nyumban 😂
2026-08-22 04:53:08
587
bint.simba65
Haldah❤️ :
Sasa mtu asizoee mazingira Siyo
2026-08-21 18:21:59
760
usermagupa
paul jimmy :
wangu sijui kafundishwa na nan kuzima taa jmn, hiyo siku niliona dunian inanielemea
2026-08-22 16:08:53
73
faudhiayazid05
Faudhia yazid :
Me wangu alitaka kuniuwa lakin nimemuwaii nimempeleka kuzimu mapema 😂😂😂😁😁
2026-08-21 20:27:27
182
mussa_jamally
ƁŪÐÃ :
me wa kwangu ana harisha tu
2026-08-22 07:25:43
139
joeltajirikipamba
Joel Kipamba :
Akichangamka xna Hela itakuja Kwa Wingi
2026-08-22 05:25:11
78
abuu.kiberiti
Abuu Kiberiti :
Ndo alivyo kachangamfu changamfu Lakn wala hana shida😅
2026-08-21 19:44:32
100
valeria29725
MISS VALLEY :
nd maan mimi nataka kobe sio nyoka😅😅
2026-08-22 04:56:54
41
paaap28
@nord4$@ :
sas mtu asijiskie yupo nyumbn😂😂😂😂
2026-08-22 14:53:18
45
cxg62
SIXG :
umekwisha anasubiri ulale 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-21 19:15:11
21
sidemdogo3
side mdogo :
anataka kutoa ela we kuwa na amani kiongozi
2026-08-22 06:00:50
13
user3cd4jleobf
Nellywise :
Ila watu mnateseka. Mungu hana mashariti
2026-08-22 18:33:05
15
shesquin26
quin💗 :
comment section wote tutawafwatilia 😅😅😂
2026-08-22 09:34:14
15
deolee.mbeyajeans
Deolee Lucas :
si bora wa kwako wng mm toka nimepewa kalala tu hata sioni makeke ya mabadiliko ivi nawaza nimrudishe cjui itawezekana
2026-08-22 13:10:35
6
useryhappree
user happy ree :
Majbu ya watanzania me ndo nachoka et kwaiyo mtu asijiskie yupo nyumbn😂😂😂
2026-09-12 22:34:24
7
firstborn..2003
🍀Firstborn👑 :
Bora wako huyu wangu mda wote amelala tu nitapata hela kweli
2026-08-22 13:13:54
8
official.maggie2
Maggie ❤️🥰 :
comments section nina mashaka na nyie 🤣🤣
2026-08-23 19:27:40
5
ps30417
udah manya :
nmchangamfu
2026-08-21 14:06:38
37
akuh_tz
Aku_Tz :
Ndo alivo kachangamka tu wala Hana shida
2026-08-21 19:31:12
6
bbyluen
B@byluen❤️🥰 :
🤣🤣 nimecheka adi machozi 😂 utalala kweli
2026-08-21 17:24:18
12
user4814511596301
Kalike Ditrick :
Ndo yeye kafanana na wangu kila kitu😅
2026-08-21 18:33:01
8
shafiiajuma2
BABA T :
ongezeni ubunifu wa comment mim furaha yangu ni comment
2026-08-22 17:41:38
5
jylopez223
Lopez🥰🥰 :
🤣baaaas kwishaaa Kuna nn tena
2026-08-21 17:58:28
7
clara.kimaro3
Clara kimaro :
Huyo wa kike mwenetu
2026-08-21 15:56:01
9
To see more videos from user @salmatembo123, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About