kila nikila dem mpya nakutan na hizi story kwann lkn🥺🥺
2026-08-21 06:13:40
119
Waheed_7🤍 :
Kuna sehem nilkuwa naenda inabidi Nirudi nyumban😒🤦♂️
2026-08-21 07:19:09
45
3sm 17jr :
serious mkaliii 🤣🤣🤣
2026-08-21 07:34:57
1
BWASHEE FRESH BAKERY 🍞 🍰 :
we wasisitize watu waache uzinifu
2026-08-21 03:43:56
10
iConic :
Mambo kwa ushahidi hiyo jana hiyo, imagine furaha niliyo nayo😁
2026-08-20 20:37:17
32
ngwinajuma :
point san kaka
2026-08-20 20:20:30
2
daz :
Very true
2026-08-21 05:47:21
1
YACO TV :
Haswaaa
2026-08-21 07:45:52
1
ivan khan 26 :
brother umeongea point
2026-08-20 19:05:15
9
Charles Joseph :
Respect
2026-08-20 21:48:17
2
gasto org :
ukifanya mara1 unapataa jamn mnambiee
2026-08-21 06:02:47
7
Blue wayne :
Daaaah.! Umenisanua leo. afu sizani kama ata wewe unafahamu kuwa umeongea jambo zuri sana.
2026-08-20 20:34:07
27
Official Frank Igwe :
kaka yangu leo umeongea poa sana
2026-08-20 19:03:27
10
mam kingsley👑👑🥰 :
m mnazid kunitisha jmn na nmefanya juz tu😪😪😪😂
2026-08-21 07:15:53
8
FARAJI.DZAINA :
katika siku nilio kuerewa nileo umetisha sana mkali😅😅😅😅😁
2026-08-20 21:26:02
8
user7618872753045 :
mbn unasema siri. za watu
2026-08-20 20:20:50
9
Seed's Deep7 :
kumbe usiku ndo unaongea ukweli points sana Mkali wetu.😂😂😂
2026-08-21 03:33:02
11
user6530275316913 :
Nawaombeni vijana wenzangu tumrudie Mungu turudi ibadani na tuache uzinzi nasi tutakua salama
2026-08-21 05:43:18
5
Hindu Hamza :
we nilichanganyikiwa siku nilie kutana na saidi alitaka kuniona bila ata ya kulala na mm nikakubali tukaanza michakato ya harusi akatoa mahali sasa siku ya kwenda kupima kilitaman kuzimia nikikumbuka mnyololo nilio kua nao we nililia usiku kucha alafu asubuhi ndo nikapime nililia sina raha jaman ila nashukuru ALLAH amenisaidia nipo salama kabisa niliapa nikiwa mzima kuchit bas mpaka leo namuomba ALLAH nisiwe muathirika maana mm najilinda mume wangu je ALLAH nilinde mm na mume wangu na kizazi changu 🤲🤲amina
2026-08-21 05:54:48
5
To see more videos from user @mkaliwenuoriginal, please go to the Tikwm
homepage.