@sizakennel:

siza dogs kennel
siza dogs kennel
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 18:58:23 GMT
48853
1733
46
130

Music

Download

Comments

sauticlassic
SautiClassic :
Mwamba Anaishi Ndoto Zake No Matter What itachukua mda gani kukamilisha ila hii bonge ya hatua mzee wanaomshauri kujenga nyumba ya chini wangejenga tu za kwao Ila jamaa Mimi nimemuelewa lazima aishi kile anachokitamani kuwa nacho BIG UP
2026-08-21 04:36:59
25
thebuilder300
Kassaba builders :
haiwezekani📌 labada ndotoni
2026-08-21 03:35:46
5
official_kisc
Official_kisc :
kumbe tunaofanya kazi serikali tunalipwa mil200 na sijui
2026-08-20 23:56:45
4
tonyfrezzy13
tony.toshifty :
hio ya jumapili kaka hamna mapilo sio
2026-08-20 19:33:33
3
meshack6441
Meshack :
hongera yake san
2026-08-20 19:28:47
2
meshack.samwely4
meshack samwely :
kila kitu kitawekwa wazi mbinguni
2026-08-23 19:20:22
0
octavian_kangalawe
octavian_kangalawe :
tukifika mbinguni tutajua ukweli
2026-08-21 05:31:17
1
ezzeezze1
The Don Complex :
Kama unajua bei ya nondo Sema shkamoo dogoo😅😅
2026-08-21 19:29:06
3
mrboshen4
Zungu001 :
chochote kinawezekana kwenye maisha mtangulize mungu Kisha piga kazi kwamalengo majibu utayaona.
2026-08-21 02:39:16
3
zachariafillimbi
Mr.fillimbi :
aniite nije niweke bomba za umeme sasa😂
2026-08-22 21:31:01
1
stayfocus029
Mr stayfocus029 :
good idea
2026-08-22 13:20:39
0
zeux__jb
JB. :
sasa bro ndio utuseme😂
2026-08-20 22:27:43
1
hasmir_ghxstlxrd
𝔜𝔰𝔩 𝕳𝖆𝖘𝖒𝖎𝖗 イムイイのの :
nakubali kaka kwa kuappreciate mafanikio ya mwenetu🔥🔥
2026-08-21 01:28:25
1
the.pigeon.gold
The Pigeon gold :
inawezekana mbona hayo mambo ya kawaida tu..
2026-08-22 18:01:51
0
ibraa_mastika
IBRAA_MASTIKA🇹🇿 :
hii nyumba ipo nzuguni jirani na kikorongo ana mbwa wakali sana niliwahi kwenda kuulizia mbwa wa kununua kwake 🔥🔥🔥
2026-08-23 23:05:28
0
chrisschisso
chrisschisso :
mze unahakika ni fundi bomba peke ake😅😅
2026-08-22 18:55:49
0
afroby
ҍɾɑѵօ boy ԵՀ :
daaah
2026-08-20 19:45:22
1
anthony.kisabo
MATTRESS SELLER 🛌 :
hii ni moja ya ndoto zangu,, ee Mwenyezi mungu nisimamie nitimize 🙏🙏💪💪
2026-08-21 06:25:50
0
erastompmpemba
erasto8@ :
nakubali yukosawa
2026-08-21 06:32:52
0
nellyadriano4
Nelly Adriano :
au n babu G
2026-08-21 11:27:55
1
unlimited_5g
Mo'oh Brand tz :
daah big up
2026-08-21 06:44:06
0
makukumia
makukumia :
AHESHIMIWE
2026-08-21 16:22:51
0
christian.mwaka5
Christian Mwaka :
Hongera zake
2026-08-22 03:51:48
0
gtown740
g~town :
viziri
2026-08-22 06:57:36
0
imrancedrick15
Imran :
Mwambie gorofa ni ghrama akuna gorofa apo sasa si ulimbukeni huo kuliko kutumia hela nyingi kwenye kusuka mi nondo ivyo sini bora. Ajenge nyumba ya chini kubwa na yenye ubora ita kuja kumuangukia siku moja
2026-08-20 20:25:22
4
To see more videos from user @sizakennel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About