sijui nalilia nini itoshe kusema kifo chako ilikuwa nimwisho wa hatima yawatanzania inauma sana ninaumia muno nifanye nini mm tufanye nini watanzania tulimkosea nn mungu nakwann alitupa azabu yanamuna hihi why mungu kwann kwann uliluhusu ili why
2026-08-21 07:49:26
27
kadashi junior :
iv mwimbaji wa wimbo huo alikuwa nan Ndgu
2026-08-22 19:49:15
8
Dotto bahati :
Daah umetisha san upete👌
2026-08-21 20:53:13
6
berithamatiga :
huwa naumia sana ,bila ya huyu baba wengi sana tusingesoma
2026-08-22 15:33:56
8
zigzo kimutu hakiendake mbalii :
dunia ili tukosea☺️☺️
2026-09-02 22:39:02
1
lamine aman :
daima na milele nitawakumbuka maisha yako yoteeeeeeeeee baba magufuli 💪
2026-08-26 06:46:29
9
chidodo mubishi :
dar baba lar salma t
2026-08-22 10:28:54
2
kashaba Jr. :
R.I.P jembe letu umelala baba
2026-09-03 11:16:26
7
SamSoni12345666 :
dahh
2026-08-22 08:41:31
3
Linaah ♥️🔐 :
Daah inauma sana 😭😭😭😭
2026-08-25 14:23:30
6
abuubakar :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰asante mungu ila tujalie kama huyu au zaid ya huyu uliemchukua amin☺️☺️☺️☺️
2026-08-22 10:25:59
6
Ramaa :
hili jembe tutakutana nalo kwa God😭😭
2026-08-25 05:28:00
2
Darling :
Mungu hapa ulituweza baba tuseme nini sisi zaid tunakushukur kwa zawadi ya maisha yake😢😢😢
2026-09-28 20:57:41
2
William Sebastian :
Asante MUNGU .ulitupa zawadi.nasi kwa mapenzi Yako ila utawalipia watanzania machozi yao.apumzike kwa amani baba yetu JPM
2026-08-21 10:26:25
5
Amina Mlowe :
nililia sana hii siku
2026-08-26 22:10:37
3
masasmathuel :
Naomba Mungu tupe mwngine mwenye moyo wakujitoa kama uyu baba
2026-08-25 23:03:44
4
Side kapoyola :
daaaaaaa yani uyu mzee ewe mungu mfanyie wepesi uko alipo daaaaaaa 😥😥😥
2026-08-23 20:43:56
2
Juma Abdallah Kigwazo :
kuna kitu nataka niseme ila basi tu.....
2026-09-01 11:00:01
1
kizzahdtz :
magu mwamba
2026-09-07 19:01:28
1
Beatrice cute💞💞 :
wana chato tulipata pigo kubwa sana atuta saau daima 😭😭😭
2026-08-23 09:44:01
3
mariana luwi :
baba jamani nyie naliya sana baada yakuona ivi sikuwi jamani kama takusaau mimi 😭😭😭
2026-09-14 10:03:33
2
estaesta341 :
tumekukimbuka baba
2026-08-22 18:09:30
1
Nehinaa :
pumzika Kwa amani, 🙏🙏🙏🙏
2026-08-23 16:44:54
1
To see more videos from user @smart_miran255, please go to the Tikwm
homepage.