@kukimalano: #fypシ #tabianjema

SHIKOME 🌴
SHIKOME 🌴
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 19:22:37 GMT
27014
1621
291
90

Music

Download

Comments

daizzo_official
DAIZZO :
Sijawai kuamini ata kidogo mzee wangu
2026-08-21 08:44:03
17
mr.discipline34
SHOZII 🥊🏋‍♀️ :
ilo nishakataaa mungu hajapanga maisha ya mtu... kupanga ni kuamua kwako
2026-08-21 07:32:18
23
fundi.simu81
Fundi Simu :
wengine tusha fungua macho
2026-08-21 05:36:11
12
misongesenior
Betta-4-best :
kwan braza ukipanda mbegu shambani una uhakika gani kwamba zote zitaota na kuzaa mavuno mema..zipo tikazotoka mbovu tu na zitaathiri nyingine..au ukizaa watoto unajua vipi kama wote watakuwa watoto wema na watapendana kama ulivyowapenda wewe au ulivyowafundisha...?
2026-08-21 10:18:13
3
joeljilya610
Joel jilya⚡😛 :
sensi ipooo bro,,, kila kitu kinakuja na kusudi... Na Kweli Mungu anajua kila kitu mwanzo hadi mwisho,,, Mungu ametupa utashi wa kutambua mazuri na mabaya, mabaya yanajulikana na mazuri pia,,, Mungu hakulazimishi kufanya mazuri.... kumbuka kuna roho ya shetan...zaburi 51:3
2026-08-21 01:23:07
7
wakaki.d
wakaki D :
hizo habari za mungu ni uongo mtupu ni vitu vya ajabu mm mungu wangu sio huyo wa kwenye vitabu bana
2026-08-21 08:19:36
6
tiberius_hommie
Clif :
you got point bro..umeongea fact sana until that English part😁
2026-08-21 16:58:28
1
anoldchipuga
Anold Chipuga :
me najua mungu anaweza kila kitu ,lakin katuumba tukiwa huru na katupa uhuru na yeye anataka kuabudiwa tukiwa na uhuru wa kuchagua ko mambo mabaya yalitokea pale ambapo shetan alichagua kutomtii mungu kutokana na uhuru aliopewa na alionywa lakin alikataa ko ndio ikawa hivyo ndo maan asili yetu ni mungu ndo maan huwa tunapatwa na hatia pale tukikosea kweny mioyo yetu wenyewe
2026-08-23 14:22:05
2
preciousnkoba519
salmayra :
bro kama hawaelewi endelea tuu kuwaelewesha Kila mtu ata amka kwa wakati wake
2026-08-22 19:32:11
3
mathayosangason
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 :
Nakuelewa kak na huwa najaribu kuwaamsha ila hawaamki sjui wamelishwa nini
2026-08-22 16:10:34
2
offisho.yeye3
offisho yeye :
kitu cha msingi cha kujiuliza
2026-08-21 08:54:13
2
user4783497373431
Mi@m shift 👽 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣🤣 mi nashindwa kuelew mungu 🤣
2026-08-21 09:11:55
1
a6dully
Dully :
Surat An-Nisā (4:79): “Mema yoyote yanayokufikia yanatoka kwa Allah, na mabaya yoyote yanayokufikia yanatokana na nafsi yako.” — Qur’an 4:79
2026-08-21 11:50:17
1
lonjino.peter
Lonjino Peter :
weweeeeeee nakubali sana
2026-08-21 11:03:48
1
user6530275316913
user6530275316913 :
we unataka uwepesi bro Mungu anajua kila kitu na hafundishwi na anajua anachofanya na hakosei na ndioman akaweka amri ili tuzifuate na tuwe salama
2026-08-21 08:51:01
0
invictus.maneo01
Invictus Maneo :
Mm binafsi naamini Mungu wangu hajui kesho yangu, ndio maana ananilinda kwasababu hajui adui atakuja lini, nitapata ugonjwa gani ni kama baba yangu mzazi anavyoniwazia mambo mazuri
2026-08-21 17:19:19
1
withnexty
withnexty :
Take this hii Haipo kweny Dini. Mungu alimuumba binadam na akampa access zote, ili binadamu aweze kucontrol kila kilichopo Dunia, Mungu ni nafsi, kila Binadam ana umungu ndani yake, na ndomaan ukifanya chochote kibay(kuiba,kuuwa,kubak..) nafsi yako inauma, nafsi inasononeka means unaikosea nafsi yako, Ambay nafsi ndo roho na ndo Umungu wa Mungu kwako. Nakuikosea nafsi yako ndo dhambi zako, Mungu hamfanyi mtu atende mabaya wala mazuri, ni wew Binadam baada ya kupew Utashi ndo utajuah ufanye nn But God is watching
2026-08-21 23:25:35
0
eddymchina
Ahmednour :
Bro iko hivi MUNGU anasema kuwa nawaleta DUNIANI mfanye mnavyotaka Ila Mjue kuna MUNGU anayepswa kuabudiwa sasa hapo ni wewe na maamuzi yako 😎
2026-08-22 06:21:27
3
user4862696571361
user4862696571361 :
Mungu hakutaka kuumba robot aliumba binadamu na akampa uhuru achakue kile anataka kutika moyoni siyo ku control kama robot
2026-08-21 04:15:21
1
abuumakele
abuumakele :
Sawa ila ivi vitu kaleta nan tunapumua, tumekuta kila kitu nan kaleta
2026-08-21 07:44:27
1
amfrodi8
amfrodi :
umewaza kwa kina sana kaka😌😌😌. kuna ukweli %100 kwa iko unacho kisema kaka
2026-08-21 08:58:14
1
mkd.obbo
MKD obbo :
kwaiyo unatushauri tufanyeje
2026-08-21 18:41:28
1
kalinjumaelias
Kalinjuma Elias :
Kwanini dhahabu ili iitwe dhahabu mpaka ipitie kwenye Moto ?
2026-08-21 17:30:18
2
mourinho445
mourinho mashoes :
hapn haiko ivo mungu hupanga mema pekee.
2026-08-21 04:46:35
2
To see more videos from user @kukimalano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About