ivi asaivi kuna m2 anatumia mb zake na sio wifi za bure kama unatumia mb zako tuwe marafiki bas😂
2026-08-20 19:54:59
1506
Edina Nasir :
Raha ya ndoa mwanaume akupende yeye utafurai sio ufosi ndoa 😀
2026-08-21 05:11:43
1076
❤️ GNS❤️💵 :
Mm niko kwenye ndoa napewa kilaninachotaka laki siruusiwi kutoka
2026-08-20 19:55:02
817
Reencute🌸 :
Baada ya kusamehe hali ninayopitia
2026-08-21 03:08:32
333
Jenipher_Mall :
Sasa ata kama ungekuwa wewe ungekataa😂😂😂
2026-08-20 19:55:19
316
ᥫ᭡Annastacia :
ndoa inaraha sana, lakini hakikisha umeolewa na mtu ametaka mwenyew kukuoa ujamlazimisha, uta enjoy bn🥰
2026-08-21 00:21:13
226
MaMa NoNa house of fashion🤗🧥 :
ndoa ina raha mnoo ilaa jitahidii sana marry your friend🙏🙏naenjoy ki ukwelii
2026-08-21 04:18:45
76
afifa_yummy🤤 :
kuna na ile raha mkiwa mnagombana utackia anakugomba alaf anamalizia mke wang 🔥🔥😂
2026-08-21 05:30:21
70
Acky :
Sina Uhakika kama ndoa inaleta furaha au amani. katika akili ya kawaida tu Amani utaipata ukiishi maisha yako peke yako bila kufungamana na yoyote, na ukiwa financially independent.
2026-08-21 06:53:25
52
Tamara_wababa❤️ :
ndoa Raha bwana 🥰
😂tunaenjoy sana kuliko makero
2026-08-20 20:42:17
51
Linah🌸 :
Ila akiri ya mama chanja😂😂😂 nimecheka satano hii usiku😂😂😂😂
2026-08-20 19:54:59
46
DAVE RED DEVIL😜❤️ :
hawatupi possible 😂
2026-08-21 07:01:24
31
🌷muzna :
ambao tunaweka hela kwenye cm kama akiba alafu tunajikuta twaziunga bando tujuane
2026-08-25 14:29:12
28
mr writer🤒 :
ndoa sio ngumu ...ikiwa utayakubari mapungufu ya mwenza wako kua ndio hayo na yeye akayakubari yako ndio hayo... nje ya kuchotiana mengine yanabebeka ... hata wangu ana mapungufu yake ila mema yake kwangu ni mengi zaid
2026-08-21 03:02:36
26
officially ukhty asha :
ukikataa unapata zambi iyo nihaki yake kama hujampa unalaniwa na malaika 😅😅😅
2026-08-21 03:54:26
24
jamesmussa842 :
tulio single atuwezi elewa single wote msicommenti
2026-08-20 20:20:33
22
BAALAWI TOUR ZANZIBAR :
RAHA NA HESHIMA YA KILA MMOJA WETU NI KUOA NA KUOLEWA, HAKUNA HESHIMA BILA KUOLEWA AU KUOA.
2026-08-21 07:16:03
18
user8563382551425 :
mi nimependa tu usoni kwako umeglow
2026-08-21 06:59:51
15
julieth :
Wewe unajuaje mama chanja 😁😁
2026-08-20 21:53:42
13
It's _Kim💀 :
incase you're new here she's mad 🥹🤣🤣
2026-08-20 20:37:06
13
M🩷U💛E❤️N🤎Y 💜 :
hakuna lolote ndoani
2026-08-21 07:28:50
13
mwajuju_ :
yani mama chanja sio wattsap tyu nikiona sms ajibu napiga sim ira akirud nyumbani akiniretea zawad najifanya kam sitaki kumbe natak ndoa tamu😋😋😋😋 bwana asikuambie mtu
2026-08-20 20:47:58
13
favoure235 :
Kwa ndoa watu wanaongea kuhusu bad side tu lkn mazur ni wachache ndo wanayasema 🥰
2026-08-21 07:52:28
11
sam 6 :
mama chanja nisaidie mamy ata unisomeshe nimsaidie mama please 🥺
2026-08-21 22:14:38
10
da grace :
mama chanja Mambo
2026-08-20 20:17:24
9
To see more videos from user @mama___chanja, please go to the Tikwm
homepage.