@mr.smart.tz: Post 14 | Maswali 5 Ambayo Wanaume Hawapendi Kuulizwa Na Wanawake #Psychology #Mapenzi #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp

@Mr smart Tz
@Mr smart Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 19:56:50 GMT
653188
16441
656
6901

Music

Download

Comments

user826781807527
rey m :
ambao tupo bize na usafi tujuane
2026-08-20 20:42:31
460
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
siyo kweli bhana....yaan mtu anachukia kuulizwa ukwapi na mke wake.... ?
2026-08-22 13:37:51
45
mtk_for_life
Mr.Mataka🇹🇿 :
swali la nipike nini mume wangu aisee hili swali nalichukia kinoma yaani🙌🙌🙌
2026-08-24 05:46:00
31
user6351620335161
user6351620335161 :
atajua mwenyewe bana mi nishamuuliza yote😅😅😅
2026-08-21 15:36:28
65
aliciaaviel
Alice Mwangi :
Watajua wenyewe bhna😅
2026-08-22 22:47:35
38
getruderk
official :
mme wangu kabla nimuulize atapiga aseme yuko wapi, kuhusu chakula anaweza sema leo pika chakula flan kuhusu pesa mi ndo mhasibu I love you my husband
2026-08-23 07:18:00
23
auntyray0
Aunty_rey :
hawapendi kuulizwa chakula jamani unajibiwa chochote😂😂😂
2026-08-22 13:15:05
34
amnaad1
Amnaad🥥 :
Wanaume siwaishi peke yao tu.
2026-08-22 16:42:12
17
lauraatieno681
@lauraknight_254 :
😀😂😂nimetumiwa hii video😂😂😂
2026-08-23 11:43:08
18
user2616572005880
user beautiful angel :
usimuulize wako me nikipata wangu hilo ndo swali lakwanzaa
2026-08-21 16:26:25
22
miss.sonie0
miss sonie💖 :
Ambao tupo bize na kuangalia usafi tujuane😁😁
2026-08-21 15:35:58
26
nikonikotz
niko :
sita ambayo mwanaume yeyote makini hataki kabisa kuulizwa namba moja uko wapi the tracking syndrome hili ndilo swali linaloongoza kwa kuulizwa duniani uko wapi kwa mwanamke hili ni swali la kutaka kujua usalama wake lakini kwa mwanaume hili swali linasikika kama kwa nini hauko nyumbani au na kuandama kisaikolojia mwanaume anatamani sana uhuru anapopokea simu au meseji ya uko wapi akiwa na marafiki kwenye kikao au hata kwenye foleni anahisi kama amefungwa gps inamfanya hisi haaminiki distress mwanamume anataka kurudi nyumbani kwa sababu anataka sio kwa sababu anasindikizwa kwa maswali ya eneo alipo ukimuuliza hili swali mara kwa mara anaanza kuona simu yako kama kero na anaweza kuanza kuizima au kutoipokea badala ya kuuliza uko wapi jaribu kusema natumai uko salama huko uliko na kusubiri nyumbani hii nampa hamu ya kurudi badala ya hofu ya kuhojiwa kamba mbili nipike nini au tule nini leo the decision fatigue hili linaweza kukushangaza lakini wanaume wengi wanachukia swali la nipike nini leo au tule nini leo mwanamke anauliza hili ili kumfurahisha mume wake lakini kwa mwanaume ambaye ameshinda akifanya maamuzi magumu kazini swali hili linaongeza kitu kinachoitwa decision fatigue au uchovu wa kufanya maamuzi mwanaume anapozunguka kutwa kutafuta pesa akirudi nyumbani anataka kupokelewa na sio kuamua anataka kukuta chakula mezani unapomuuliza nipike nini unamrudisha tena kwenye kazi ya kufikiri ambayo alikuwa anaikimbia wanaume wengi wanapenda surprise pika unachojua anakipenda au tengeneza ratiba yako ya chakula ukimuuliza na akasema pika chochote usikasirike maana yake ni kwamba akili yake imechoka kufanya maamuzi madogo madogo anataka uwe malkia wa jikoni anayejiamini namba tatu je sus unanipenda kwa dhati au unanitumia tu emotional blackmail swali la tatu ambalo wanaume wengi wanalichoka ni maswali ya mfululizo kuhusu uhalali wa upendo wake hivi kweli unanipenda au unanipenda mimi au unatafuta kitu fulani kwangu mwanaume anajua anapenda kwa vitendo anapotoka asubuhi kwenda kupambana na jua mvua na dharau za bosi wake ili akuletee mkate mezani hiyo kwake ndio nakupenda unapomuuliza hili swali mara kwa mara unamwambia kuwa juhudi zote anazofanya hazitoshi na uzioni
2026-08-22 09:37:49
7
williamommy
ฬ𝐢𝐥𝐥𝐢𝐚𝐦.. :
hayo maswal yote nayachukia ila hili la upo wapi nalichukia zaidi
2026-08-24 06:34:43
9
marymarypeter1
arsenal's daughter ❤️ 💪🫡🫶 :
umesemaje et nilikuwa bz na usafi
2026-08-21 06:22:13
16
rururiri_1234
msemakweli :
Namuuliza yote Na Kila siku Na sichoki kumuuliza liwalo Na liwe
2026-08-22 05:59:16
9
broishayawi
❤️miss mayra😜🫡🫡 :
unanipenda kwel
2026-08-21 08:47:27
5
irenehenry653
Freedom🥰 :
watajua wenyewe
2026-08-26 15:31:46
0
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
nilichokuja kugundua wengi wanao comment huku ni wasiyo na mapenz ya kweli au hawajapendwa au wanaishi maisha ya sogea tuishi... yaan mwanamke mnaishi vzr mnapendana. anakujali hana vipengele alafu akuulize ukwapi uchukie....? ebu tusidanganyane... hatakabla sijaulizwa ntamwambia nipo sehemu flan nakuja mke wangu... eti nikasirike kuulizwa ukwapi... ? kwanza kuulizwa ukwapi anakujali anataka kujua usalama wako sasa hao wanaume wanaokasirika ni wapi? acheni ujuaji kama umpendi mtu wako ndio utakasirika
2026-08-23 06:19:50
30
farajabraham7
Fah🦋💫 :
Atajua mwenyewe namuuliza
2026-08-22 12:06:32
1
modymj4
NDAMA JEURI 🔥🔥🔥 :
Afadhali ujumbe umefika maana mke wangu ndio tabia yake 😆
2026-09-02 14:11:09
0
fatma.hassan._
Fatma Hassan🪷 :
uwongo😦 mine liked it infact usipo uliza anahisi umebadilika
2026-08-23 10:39:36
2
grace.minah
grace minah :
Mimi mwenyewe nataka uhuru Sitaki kuulizwa nipo wap kwakweli Abeg ooh 😂
2026-08-26 19:01:08
1
tiktolastborn
lastborn ♥️ :
sio wanaume tu ata mm spendi kuulizwa so Kila Mmoja asiulze mwenzake
2026-08-25 12:54:02
0
lovebeauty0001
lovebeauty :
haya endeleeni kuwapotosha hao wanaume
2026-08-23 06:12:14
0
josphinegmx1
Josphine Ritah Okoth :
nimetumiwa hii video 😅😅
2026-08-30 20:28:21
1
To see more videos from user @mr.smart.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About