@..casmirtz: skubeba maumivu kwa sababu nilikuwa dhaifu.Bali nimeyaacha kwa sababu nataka amani.sihitaji kulipiza kisasi wala kuthibitisha chochote kwa mtu.kilichopita kimepita. Nimechagua kusamehe si kwa sababu walikuwa sahihi.Bali moyo wangu unastahili kuwa huru .Naendelea mbele kwa amani na matumaini na imani kwamba Mungu ataweka kila kitu sawa na kwa wakati wake🙏🏽#viral #fyp