@omarimshairi: mapokezi ya Allan OKELLO far rabat stadium morocco 🚨Rasmi: Allan Okello ametambulishwa Kama Mchezaji mpya wa FAR Rabat. Yanga wameingiza $1.2m✅ #allanokello #farrabat #yangasc #farrabatvsyanga #YangaSC
young African is the best club which sell talented players
2026-08-21 07:49:06
4
mwanayanga :
mungu amjalie afanye vizuri zaid na zaid yasiwe mapokezi ashangiriwe zaidi na zaidi penda sana okello mungu akutangulie kipenz cha wanayanga💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚
2026-08-21 04:53:18
63
Mih Sancho Jr" :
nimexkiaa Gsm jmn au nimexkiaa vibaya
2026-08-21 06:06:02
13
Jamila :
jmn nasikia Gsm mbele kutoka kwa wanannchi daima mbele au masikio yang jmn msinifokee naumwa degedege yanga raha
2026-08-21 07:08:55
25
🌚🌚🌚chief :
Dahh ama kwel mungu anamaajabu yake
2026-08-20 21:04:31
31
Junior 38g :
🤣🤣🤣nacheka sana ila niseme ukwer bana yanga tamu bana🤣🤣
2026-08-20 21:49:40
22
Lenny💞💓 :
Mungu pekee azid kumsimamia katika kazi yake🙏
2026-08-21 07:27:41
3
Conso :
okellooo anapendwa kila shehemu adi lahaaa
2026-08-21 08:50:44
2
✨💫 hussy 🍀 :
waoo nice
2026-08-20 20:30:24
0
Samweli416 :
tunajivunia mchango wake
2026-08-21 01:05:04
8
mariana :
mbarikiwe kwakumpokea vyema kipenz chet ila msije mkamuumiza bado tunamuhitaj sana💛💚🌹🌹
2026-08-21 09:23:17
1
Jastin Luoga :
achen taharuki a hiyo tim mpya ya salah
2026-08-21 04:30:01
1
oscar haule :
atakuwa mchezaji wa atar afrika mungu hamlinde star boy
2026-08-21 09:14:38
1
mrs🥰 :
huy alichoondokea yanga kaona mwezk hajalipwa pes ya mwezk kapew mwalim akaon hap hapna kt
2026-08-21 05:17:48
1
mima 💝💝 fetty love :
mbn kama nmeskia gsm au ni mm peke yangu
2026-08-21 08:13:43
0
dorkas dabaly :
wasije wakamweka bech tu kijana wetu
2026-08-21 06:52:11
1
tee hynah💗💕 :
mungu anilindie okello jmn ufanye vzr zaid mungu aibariki Kaz ya miguu Yako inshaallaah🙏
2026-08-21 06:29:17
2
AMIRY ADAM :
ziokwelil
2026-08-20 21:40:05
2
mrs🥰 :
nimepend san ach wakukumbk
2026-08-21 05:16:14
1
rehema kales :
uende na baraka za wanayanga wite walikutakia mema ukang'ae huko watu wakaulizane ametokea timu gani huko tanzania
2026-08-21 05:17:54
2
Nurath Yassin :
woow nice jmn
2026-08-20 20:32:43
1
ally :
ivi daah okello ataweza kugombania namba kweli daah maana daah
2026-08-20 21:51:52
4
𝑬𝒍𝒊𝒎𝒖 𝒅𝒖𝒏𝒊𝒂 :
Siyo kweli
2026-08-20 21:01:48
1
Zuhura Mgomba :
mungu akufanyie wepesi ufanikiwe zaid
2026-08-20 20:23:26
1
Joel Hisa :
God bless yànga
2026-08-21 09:58:08
0
To see more videos from user @omarimshairi, please go to the Tikwm
homepage.