@achievefinancetz: Najua inauma, lakini lazima tuambiane ukweli kuhusu hela zetu! Wewe ni Spender au Saver? Au Black Tax inakumaliza? 😅 Dondosha comment yako hapo chini. 👇🏾 . . . . . #achievefinancetz #fyp #foryou #viral #trendingreels

Achieve Finance 🇹🇿 👇👇
Achieve Finance 🇹🇿 👇👇
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 03:00:00 GMT
6448
296
28
38

Music

Download

Comments

joel.dos.santos.m78
Joel Dos Santos Mollel :
kwenye kusaver am good...but problem where to inverst coz npo na limited time...sana
2026-08-21 09:02:22
0
benedi515
judy :
I'm saver now nataka nijenge🤣🤦🤦
2026-08-21 10:56:12
0
istoresmart
SMART_ STORE 🫧 :
I am saver, but i need to be investor🥺
2026-08-21 03:14:57
2
warda.masele
warda masele :
😢😢😢 yaani nipo 1,2,3,5. Hadi najionea huruma mtu 1 mm
2026-08-21 09:05:09
1
rehemazuberi0
rehemazuberi22 :
najifunza
2026-08-21 06:26:28
1
idrisachoum
chumlee :
tunaobeti tupo kwenye invester 😁
2026-08-21 08:37:34
1
psychpauljr
pauljr :
Serious investor here🤣😂🤣😂
2026-08-21 05:52:33
0
wonder.autopart
wonder autopart :
Acha nikufollow tu
2026-08-21 07:50:12
0
shukuboy56
shukuboy :
kwani hizo fedha ziko wapi
2026-08-21 11:04:07
0
user1908472814954
user1908472814954 :
good
2026-08-21 08:56:53
0
rogersolomon245
rogersolomon245 :
Uwiii naomba nisaidie mm nimtumiaji sana wa ela 😭😭😭 hata siji elewi mimi ni nani hapo 😭😭
2026-08-21 06:51:25
1
naomimaliza
silent killer :
sema tupone
2026-08-21 10:12:32
0
sarryvinlegacy
sarryvinlegacy :
mimi kwa sasa nipo kwa Investor mwaka Jana nilikuwa saver
2026-08-21 04:23:29
1
bro.millennium
Bro Millennium :
Naomba tueleze kuhusu masoko ya mitaji.
2026-08-21 03:47:43
1
nibo.cosmetics0
Nibo cosmetics :
mm ni investor
2026-08-21 08:16:24
0
possitivemind9
Positivemind♥️🇹🇿 :
mm hatart
2026-08-21 08:18:18
0
possitivemind9
Positivemind♥️🇹🇿 :
kwenye kuwekeza hapo hata ya moto napita nayo aiwezekan kitu iuzwe bei. ya nyanya halaf niiache. mfno, heka inauzwa milion 2 iko around population mjin niachaje
2026-08-21 08:23:34
0
reen6900
reen💕🍭 :
Aliye kweny no5 anasaidikaje hapo!
2026-08-21 11:08:07
0
possitivemind9
Positivemind♥️🇹🇿 :
ana mwaga waaaaah watu wanafiurahii😁😁😁😁😁😁😁
2026-08-21 08:21:15
0
To see more videos from user @achievefinancetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About