sijaelewa apo zinatumia umeme tu au umeme n natfuta uktaka unatumia
2026-08-22 12:52:11
2
Latifa Jalasi :
ofisi zenu ziko wapi nije
2026-09-13 09:08:27
1
PRINCE NASRI🇰🇲🇫🇷🇾🇹🇹🇿 :
Nataka 4
2026-08-21 13:00:22
0
Khalfan Khalfan :
zina patikana wapi boss
2026-08-21 12:56:00
1
Chudy Boy :
vario hamna
2026-08-31 17:55:41
0
LOST :
hpn ukwel hpo
2026-08-25 18:15:20
1
NO ONE :
nataka mmoja na mm
2026-08-24 09:00:48
1
muslih _ish :
kaka upo wap
2026-09-25 16:46:45
1
coach makusu⚽🏀🏐🏆🏆🏆 :
Mko wapi
2026-08-22 08:18:55
1
Hakuna Matata :
nataka 10
2026-08-21 08:41:08
0
CHEF RAMAH 👨🍳 :
Nahitaji mkuu nipo mwanza
2026-08-26 11:42:30
0
zuwenaislam708 :
nahitaji 1 kwa ajili ya sokoni
2026-08-22 05:27:33
0
Coregeous lady😘 :
so hata home unweza kuchagi au kuna sehemu maalum y kuchajia meybi dukani au uliponnua and then je km home unachaji unapewa n kifaa maalum cha kuchajia au vipi
2026-08-24 09:39:56
0
jjzawadi :
pikipiki zipo goba au ndio zinaagizwa nje?
2026-08-24 06:28:34
0
richkhan92 :
nipo mza nahitaji
2026-10-12 19:05:36
0
sandra kayesu :
niko mwanza nahitaji moja
2026-10-11 09:42:11
0
Emmanuel enock :
hivi mnajibiwa kwel
2026-10-16 17:26:55
0
Rajabu Mnango :
Bei hiyo ni kwelii au munaatuchoraa
2026-10-09 10:32:26
0
jay designer :
Bado zipo
2026-10-04 10:16:14
0
Shafiibushiri :
Mnapatikana wapi?
2026-08-21 06:42:42
0
To see more videos from user @dunia_company_ltd, please go to the Tikwm
homepage.