@kim_yunus_: 😂😂😂😂

Kareem the mechanics
Kareem the mechanics
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 04:08:04 GMT
187399
8216
304
222

Music

Download

Comments

limbalakasa
Limbalakasa la Kupwasa :
cheti kinazeekea ndani, ajira iko kwenye bajaji Taaluma ya darasani haina kazi mtaani maono yangu tu....,🙏
2026-08-21 11:19:13
1023
jvan_jr
jvan❤️😘 :
GPA ya 4.5 n tofaut n GPA ya maishaaa sooo focus san kupta GPA ya maisha zaid ya class🫡🫡
2026-08-25 10:58:09
1
nelly00299
Nelly :
yaan hapoGPA 4.5 Ni hdggkkydjjovdebjbcxxvbjgxscjhdxvngdxvbgdxhdfhbcryijfwdhj. 4.5 basi tu inauma😳
2026-08-25 19:46:46
1
blackangle7471
Blackangle :
Chinua Achebe said that "One of the truest tests of integrity is its blunt refusal to be compromised.”
2026-08-25 12:57:01
1
mavella4
It’s chocolate 💗 :
It means watch your back 😂😂😂🙌🏼
2026-08-25 06:18:08
1
black.rabbit52
black Rabbit :
GPA ni grade, point, average
2026-08-25 20:02:33
1
agustinojohn3
papillon ganstr :
Grand Point Average
2026-08-25 09:51:19
1
johnsonlekashu
Johnson :
GPA 4.5": Inawakilisha mtu aliyefaulu sana chuoni kwa daraja la juu picha ya Mzeeinawakilisha jinsi maisha ya mtaani na msoto wa ajira au utafutaji unavyoweza kukuchosha, kukuchakarisha na kukuzeesha mapema licha ya kuwa na elimu kubwa au GPA ya juu siangalie GPA kubwa chuoni, mtaani ni shule nyingine kabisa inayohitaji msoto tofauti
2026-08-21 13:27:07
180
g_0mmy99
Ġ_Omm¥🇹🇿 :
Amemaanisha Unaweza Ukawa Na GPA 4.5 Na Ukabaki Nayo Mpaka Uzeeni.
2026-08-25 06:57:51
63
mieyusho
mieyusho :
Yan P1 nakuwa na GPA kubwa ila bdo kitaa kimemchafua mbayaa😅😅😅
2026-08-21 10:34:01
81
yg6742
I am bright :
Bila connection gpa number tu 😂😂😂
2026-08-21 05:16:56
31
user5934282957793
ÑØ"SYSË"S :
😊:cheti kinazeekea ndani, ajira iko kwenye bajaji Taaluma ya darasani haina kazi mtaani maono yangu tu....,🙏
2026-08-24 21:56:08
22
mtembezi_tnz
MTEMBEZI 🇹🇿✧˚₊‧ :
Sisi wataalam wa Fasihi tunasema Tafsiri halisi anayo muandishi wa fasihi ..Ila sisi wengine tutajaribu tu kuhisi mwandishi alimaanisha nini 🔥😅
2026-08-25 08:57:41
9
faithmaster0492
Faith og 💀💀 :
ATUCHEKESHI 45
2026-08-24 15:59:01
5
pinabeauty01
pina beauty saloon :
nipo saloon saivi hahhahah 😂😂
2026-08-21 10:03:56
7
thoryo4
Blackman :
katika swali alilouliza jamaa na majibu ya wanacoment nimejifunza tafasiri nyingi na wengi wapo saw kbs🫡🫡🫡kwa wanacoment
2026-08-25 13:09:19
8
user4006616287875
BENJAMIN MUSHI :
Moja Kwa Moja Kwa AI amnakujichosha😂😂
2026-08-21 21:49:34
5
ernestcharlse
ernestcharles845 :
inamanisha kufaulu dalasan sio kufaulu maisha
2026-08-24 21:48:54
5
patrickolomi123
𝑷𝒂𝒕𝒓𝒊𝒄𝒌🇹🇿 :
𝗔𝗹𝗮𝗺𝗮 𝘇𝗮 𝗱𝗮𝗿𝗮𝘀𝗮𝗻𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝘆𝗲𝘀𝗵𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶, 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝗺𝗮𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮𝗻𝗮𝗽𝗶𝗺𝗮 𝘂𝘀𝘁𝗮𝗵𝗶𝗺𝗶𝗹𝗶𝘃𝘂 𝘄𝗲𝘁𝘂. 𝗡𝗶 𝗳𝘂𝗻𝘇𝗼 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝗸𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 𝗮𝗻𝗮𝘆𝗲𝗽𝗮𝗺𝗯𝗮𝗻𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗵𝗶𝘃𝗶.
2026-08-21 21:22:20
6
jjmax0456
jjmax0456 :
Uhalisia wa Kusoma: Kupata GPA kubwa ya First Class (kama hiyo 4.5 ya kwenye kiwango cha 5.0) kunahitaji kukesha, kukosa usingizi, na msongo mkubwa wa mawazo (stress).Muonekano: Picha hiyo inawakilisha jinsi mwanafunzi anavyoweza "kuchoka" au "kuzeeka" mapema kwa sababu ya ugumu wa shule hadi kufikia mafanikio hayo makubwa ya kitaaluma
2026-08-21 14:41:03
9
omarynenga7gmail.com
Omary nenga :
kwani mwenye Bajaj anasemaje kuhusu iyo PCH na GPA 4.5 ?
2026-08-23 16:17:44
10
daudmachange0
daudmachange :
UTULIVU tu 😄👍
2026-08-21 20:24:31
1
boetz61
fan 😍 :
45
2026-08-21 20:41:13
1
abdullahrajab860
Abdullah Rajab :
sura ya babah 😁😁😁😁
2026-08-22 05:09:40
2
kantu.kalani
#FTZ*599MC#KANTU :
iyo ni 45 huyo mzee hachekeshi
2026-08-22 09:05:05
1
To see more videos from user @kim_yunus_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About