@syebo.consult: Imagine...... Kama ingekuwa unaona wewe tu kuhusu maisha yako, hicho chakula unachokipiga picha ndio ungetaka kula? Hiyo hotel uliyoomba saaaana kupelekwa ungeenda? Unaenjoy? Au labda unaishi kwa ajili ya hadhira (audience?)
Tusingekuwa na maisha ya ndoto kutamani maisha mengine kabisa samaki hajawahi kudream kuwa kindege simba hajawai dream kuwa samaki wote wanaishi maisha yao ila sisi binadamu tunafake hatuishi maisha yetu na tuteseka na illusion life
2026-08-21 05:19:16
10
merchant of all time :
life would be better broh..
2026-08-21 17:42:47
0
Z😊 :
kabsaaaaaa nngetaman
2026-08-21 08:18:35
0
Add your Value :
🔥🙏kabisa
2026-08-25 18:52:34
0
59jajoja :
Tungekua na ndoto ambazo tunawaona wengine walivyo hasa wanaotuzunguka
2026-08-21 14:23:58
0
Waona 💚 :
Acha nitafakari
2026-08-21 08:31:21
0
James George :
rungu zito kaka
2026-08-21 14:10:09
0
Frank Jumbe official :
unishi mtazamo wa watu wengine, utateseka
2026-08-21 05:22:47
1
SAMMYYYYY :
kwan uku mqjiran hamna wenye hizo pigo mpqk niqaone mtqndaon boss
2026-08-25 11:52:54
0
Jonathan Rwezaura :
👍👍👍
2026-08-21 17:06:30
0
A MAN OF AMAGON UK’S CUSTOMS :
🔥🔥🔥
2026-08-21 20:24:05
1
Regina chenne :
good question 😂
2026-08-26 14:37:48
0
To see more videos from user @syebo.consult, please go to the Tikwm
homepage.