@mapenzihisia6: 💝1.Anakushika kwa upole na kukujali muda wote Mwanaume mwenye hisia za kweli huonyesha care hata kwenye vitu vidogo, anataka uwe comfortable na mwenye furaha. 2.Anakutazama sana machoni Mara nyingi ataendelea kukuangalia kwa hisia na tabasamu hata baada ya tendo kuisha. 3.Anakukumbatia baada ya tendo Hatoruki tu na kushika simu, atataka kubaki karibu yako na kukuonyesha mapenzi zaidi. 4.Anaonyesha hisia zake wazi Atakuambia maneno matamu, kukusifia na kukuonyesha jinsi anavyokupenda. 5.Anajali hisia zako kwanza Hatafikiria yeye tu, atataka na wewe ujisikie vizuri na kufurahia muda wenu. 6.Hataki uondoke haraka Atapenda muendelee kuwa pamoja, kuzungumza, kucheka au kupumzika pamoja. 7.Anakua mpole zaidi kwako Baada ya tendo unaweza kuona anakua caring sana kuliko kawaida. 8.Anakupa attention kamili Hata akiwa busy, atataka kujua ukoje na kama uko sawa. 9.Anaongea kuhusu future yenu Mwanaume mwenye hisia za kweli mara nyingi huonyesha mipango au ndoto zinazowahusu nyinyi wawili. 10.Anakuheshimu muda wote Mapenzi ya kweli yanaenda na heshima, hakufanyi ujisikie vibaya wala kutumika.#trendingtanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #fypage #mwangaza💡 #misemo_ya_hekima

Mwalimu wa Mahaba❤️
Mwalimu wa Mahaba❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 06:18:50 GMT
28772
1146
17
129

Music

Download

Comments

yunnusmarwan
yunnusmarwan :
Miss you 😘
2026-08-22 15:49:58
0
user5920301814244
user5920301814244 :
🥰🥰
2026-08-22 06:28:56
1
cute.sayla
cute sayla💕 :
2026-08-22 22:43:05
0
mrs.lilfidh07
Miss zun@@liy💗🦋💕 :
2026-08-22 12:55:11
0
ali.ce395
Ali Ce :
🥰🥰🥰
2026-08-21 18:04:40
1
user6339153000856
Amina hassan :
💓💓💓
2026-08-21 14:41:18
1
chichikhamis345
Chichi Khamis :
🥰🥰🥰
2026-08-22 18:44:14
0
mylsha3
Mully :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-22 07:28:13
1
najma.hamis73
Najma hamis :
🥰🥰🥰
2026-08-22 09:05:09
0
baby.zuu63
Baby Zuu❣️💋 :
🥰🥰🥰
2026-08-22 11:47:03
0
saidatu10
SAIDATI :
🥰🥰🥰
2026-08-22 20:18:00
1
mwanamkilindi
mwana :
❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-22 09:03:18
0
user69761363982434
lady s :
🥰🥰🥰
2026-08-21 15:30:19
0
sir.raymond82
Sir Raymond :
🥰🥰🥰
2026-08-21 15:20:32
1
fatimachanfi4
fatimachanfi4 :
💖💖💖
2026-08-23 00:10:51
0
To see more videos from user @mapenzihisia6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About