😭😭🇧🇮🤦🤔 Poleni sana jameni Allah ata wapa vingine bingi sana sana poleni sana kwa kweli Allah awape subra na nguvu 😭🤦🤔🇧🇮
2026-08-21 08:05:05
5
Samia Hilali🇧🇮🇿🇦🇸🇦 :
pole sana kwakweli iyi nihasala🥺🥺
2026-08-21 11:21:58
2
Merryjoy :
Sasa tutaenda wapi penye tupo shida zinazidi tu napanga kurudi basi nyumbani nyumbani penyenyewe business za watu zinawaka moto kila siku masoko kuunguwa yarab tuone kwa jicho lauruma why kila siku ni sisi muma inchi zawatu kma atuna kwetu