@chadematz: Ukumbi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ukiwa umejaa, watu wakisubiri kuanza kwa usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. @TunduALissu. Leo, Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi iwapo Mhe. Lissu ana kesi ya kujibu au la.
Chadema Tanzania
Region: KE
Friday 21 August 2026 06:46:39 GMT
Music
Download
Comments
Mtumishi Tz :
chadema Chama cha wapigaji ,hapo wamewapooza Hao watu daaah michango ndio inaliwa hvyo😂😂
2026-08-21 14:10:23
2
jacobephram :
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️🙋🇹🇿💯💯💯ameeeeeeeeeeeee💯💯💯💯
2026-08-21 10:40:10
0
Haki daima :
Mungu wabariki viongozi waaminifu woote wa Chadema. wataikomboa hii nchi na kutupa haki
2026-08-21 06:55:33
7
sam☑️🇹🇿 :
Mungu ibariki CHADEMA Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
2026-08-21 06:50:03
6
Aden Vales 🌊 :
Nani kama Mungu atawalae juu ya virindinvya maji na chini ya jua pote anatamalaki✍️💯🙏
2026-08-21 08:37:42
3
albat mkoka :
mungu msimamie lissu
2026-08-21 06:53:08
1
official g vanny :
Mwezi mungu amfanyie wepesi inshallah
2026-08-21 12:45:16
0
irene shack :
Ameni
2026-08-21 10:10:07
0
Samwel Lomayani :
hakika mungu atatenda
2026-08-21 07:04:44
0
emmanueli71 :
Leo ndoleo tunamtaka lisu asee
2026-08-21 07:03:33
0
enongalucas :
ameen
2026-08-21 08:02:51
0
Cyprian Soka :
mungu awatangulie sina shaka na majaji hao wa leo
2026-08-21 07:23:55
0
vanny graphics :
mungu abilities siku ya leo
2026-08-21 07:08:54
0
cutie Wans# :
Amen
2026-08-21 08:10:09
0
Pius Kimaro :
Ee Mungu Baba wa vyote tunaomba viongozi wetu wa mahakama watende haki na pia wawe na huruma
2026-08-21 07:46:52
1
Sheyla_moh :
heee waislam wafanyeje sasa jaman kumbe ni chama cha wakilistu me nahama😁
2026-08-21 12:21:30
0
mchockozykussaga :
Hikichama cha wakirsto au
2026-08-21 08:32:31
0
MSSA :
🔥🔥🔥
2026-08-21 10:31:00
0
Adam kilongo :
🌹🌹
2026-08-21 07:17:31
0
oloresi :
😁
2026-08-21 08:09:25
0
To see more videos from user @chadematz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.