@coolnews24hrs: Kuna muda unahitaji tu kukaa kimya na kuruhusu muziki mtamu uburudishe na kutuliza akili yako. Leo kupitia COOL NEWS, tunakusogezea mistari hii michache yenye kugusa hisia kutoka kwenye ule wimbo mzuri wa "Qalbi Fil Madinah🤲✍️ "Qalbi fil Madinah... Nafsi fil Madinah... ❤️Ya Rasool Allah, chukua moyo wangu uwe karibu nawe." 🕌 Na kwa kuwa leo ni Ijumaa adhimu, tunatumia nafasi hii kukutakia JUMAA MUBARAK! Mwenyezi Mungu akujalie utulivu wa moyo kama ulio kwenye wimbo huu, akufungulie milango ya kheri, na akuepushe na kila zito.Uwe na Ijumaa njema yenye baraka tele! 🌙✨ Follow @coolnews24hrs For more ⚽🙏🏆 #QalbiFilMadinah #JumaaMubarak #alhamdullilah❤️ #viralreels #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp