HUU WIMBO KAMA UMENILENGA ME NA PENZI LANGU JIPYA WACHA TUJIDAI ME NA MALAIKA WANGU😂😂🔥
2026-08-21 08:52:58
9
le Bad ced :
we ni fire 💥 acha nikupende bure bro
2026-08-21 07:41:26
5
___.noor29🧚♀️ :
Mbosso khan tenaaaaa🔥🙌🏽
2026-08-21 07:41:21
3
leechatto :
MBOSSO UNA ALIBU AKILI ZETU VIJANA 👑🔥🫡💯
2026-08-21 08:49:42
7
jeremy_j3y :
Bro unatumia jina gani playstore nikuistail kbs
2026-08-21 15:58:51
1
Rayser💞💫 :
🔥🔥🔥🙌🙌 punguza hiki kipaji baba
2026-08-21 07:44:43
3
❄️wayne wide🌿 :
ila 🥴mbosso
2026-08-21 07:56:52
1
Sandra Lucky :
Leo nimekuwa number 10 🥰🥰
2026-08-21 07:41:37
1
D.👑royal :
song inatwa malaika
2026-08-21 07:52:25
1
king_craizy👑🤴 :
kaka unampango wa kuwanyoosha Nini🔥💥
2026-08-21 08:44:27
1
Daniel actor 🎬 :
ila bro langu ombi Moja tuu pleas fanyeni Ngoma Moja tuu wewe na bro aslay nakuomba kama aslay sijamzoea ivyo Ngoma zake zote zasaivi anaomba msamahaa tuu nakukili anampenda sijuwi uyo mwanamke analoho Gani kunamuda daa haya maisha kama nifumbo vile aisee kama ikikupendeza ningekuwa nauwezo kule aliko Saini kwenye lebo Ile ningemtoa maana daa sioni wakimtendea haki kwangoma anazo zitoa abadilike nyimbo zote kaludia kulia kuomba msamaa Yani daa 🙏🙏🙏🙏
2026-08-21 08:33:22
1
𝓢𝓲𝓼 𝓜𝓸𝓶𝓸❤️🦋♊️ :
Kaka utatuua na hizi HIT ❤️
2026-08-21 07:44:25
1
𝕁𝕠𝕖_𝕄𝕠𝕠𝕕𝕚𝕖 ✪♫ :
sasa tuende na ipi
2026-08-21 07:41:32
1
I am zuuh🧸 :
MBOSSO khan😍🙌🏽
2026-08-21 07:41:38
2
romy🔥 :
kirungi baba🔥🔥🔥🔥
2026-08-21 07:39:42
1
charmy babySalma Nassor :
popote ulipo mungu akulinde hunaga kazi mbaya mm love you sana na nyimbo zako🔥🔥🔥🔥
2026-08-21 07:52:31
1
ms_linda :
Oohh my honey booo 🥰🥰 my baby
2026-08-21 07:41:17
1
To see more videos from user @mbossotz, please go to the Tikwm
homepage.