Changamoto ya nchi zetu tunachukulia jela kama sehemu ya kifo , kumbe ni sehemu ya kujirekebisha sasa kwa tabia hizo mtu akitoka hapo ukatili si unakuwa mara mbili , na ndio maana baadhi ya maaskari maishayao ni magumu sana
2026-08-21 14:21:43
5
Jade mulla :
😂😂😂😂 nyumbani huko
2026-08-21 14:05:15
2
wema medics :
gereza la kilimo
2026-08-21 10:25:53
3
jems mapunda :
ilo lipo pale mpakani mwa wilaya ya kilombero na mlimba
2026-08-21 13:55:38
1
Teggo junior :
🔥🔥🔥duh
2026-08-21 09:05:04
1
Godwini :
bila kusahau isanga Dodoma kalibu na milembe
2026-08-21 13:49:03
7
cutecake :
hakuna gereza lepesi magereza yote inategemeana na roho ya mkuu wa gereza 😂😂😂😂
2026-08-21 15:12:47
6
joviness :
asa c mateso jmn ila sie binadamu
2026-08-21 10:13:57
1
Mdoko :
kwanza ukifika tu idete wanakwambia karibu idete gereza la kilimo Idete sio poa utajuta uko akuna kupumzka ni kulima tu
2026-08-21 17:53:38
0
CHADULI DRIVE🇹🇿💸🔥🙏 :
geleza la kilimo njia ya ya kwenda mlimba
2026-08-21 18:45:59
0
nin@5405 :
jaman ifoza moja hy idete
2026-08-21 18:28:52
1
Khaleed saleh :
pole mjomba
2026-08-21 10:11:06
0
To see more videos from user @mike360tz, please go to the Tikwm
homepage.