@kiswahilitvonline: Hili ni tukio lililo staajabisha kila mmoja mwaka 2006, baada ya Kurt Angle kushinda mkanda wa World Heavyweight dhidi ya Mark Henry kwenye Royal Rumble, ghafla taa zikaingia giza! The Undertaker akatokea juu ya gari la farasi, akanyosha mikono juu, radi zikapiga na uwanja (ring) mzima ukaanguka na kubomoka! Jambo lililopelekea wengi waliamini kabisa kuwa The Undertaker alikuwa na uwezo wa kudhibiti hali ya hewa, anaishi makaburini, na hafi. Wengine walikuwa wakiogopa hata kumuangalia kwenye TV. Lakini ukweli ni kwamba huu ulikuwa ufundi wa hali ya juu wa WWE kucheza na taa, moshi, na milipuko. 👉Kwenye WWE ni mwanamieleka gani alikuwa akikuvutia zaidi?
kiswahili Tv
Region: TZ
Friday 21 August 2026 08:36:49 GMT
Music
Download
Comments
sisco :
2letee za underteka
2026-08-21 12:43:34
0
@Chriss WD :
dah kitambo sana ukitoka kuangalia mieleka ukienda mtaani unaenda kuonea madogo😅😅 , sema mi nilikuwa najuaga undertaker ni mchawi kwell🤣🤣
2026-08-21 13:05:05
5
Am.Adry6 :
walijuaga kucheza na akili zetu miaka hiyo 😂 watu walikuwa hawajui kuhoji maswali ila sio kwa miaka hii ya saiv
2026-08-21 13:28:18
3
Barakhan :
nampaka wewe uliamin ndg mwandishi😁
2026-08-21 12:10:17
2
nation :
john cena
2026-08-21 11:41:49
1
kenzo :
2026-08-21 15:51:18
0
MAFIOSO :
mwamba afa mi nilikuaga namwogopa sana da😂
2026-08-21 12:02:01
1
erric kisigo :
yote kwa yote anayejua kuhusu ukweli wa undertake atueleze nn alikuwa anakifanya mana mi nimeshakuwa mtu mzima ila kila nikivuta picha sielewi sasa apo napo jukwaa limeshukaje nachanyikiwa
2026-08-21 16:36:00
0
king decor finishing :
nomaa
2026-08-21 13:33:41
0
KingĚ :
ulikuwepo
2026-08-21 16:18:49
0
viper 2450 :
Nampaka leo watu wanajua hivyo😆😆
2026-08-21 12:09:26
2
Maufi zombie :
jumatano nilikuwa naficha hela ya kula shule ili usiku nikatazame
2026-08-21 15:53:02
0
Oggdey :
walijua kuteka mioyo yetu 😂😂
2026-08-21 15:22:29
0
G.bway champion :
dah kitambo alaf tulikuwa tunasema ndg yake ni kane macho ya n'gombe
2026-08-21 14:40:14
1
shahdhad42 :
huyu alikuwa akitokea hata usingiz wenyew unakata😂😂 mamaeee
2026-08-21 13:01:15
3
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm
homepage.