@obedjkatunzi375:

PASTOR Obed J Katunzi
PASTOR Obed J Katunzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 08:48:23 GMT
2280
127
35
5

Music

Download

Comments

terrencetrr
Terrence 💥💥💥 :
I pity to myself where are we going 🥹🥲😭😭😭 Pastor continue enlightening peoples despite much despise of people we love you from KENYA 🙏🙏
2026-08-21 09:10:49
3
lily850163
Lily :
nachoka mimi
2026-08-26 13:05:26
0
senysidai1
sidanoi🎀🎁 :
pia bibilia inasema roho mtakatifu ni tulifu ,sasahizi ndio gani 😳😳???????????????????????????
2026-08-26 19:16:28
0
milly.sweet6
Milly sweet :
😭😭😭😭😭 Mmmh! ni hatari sana mwenyezi mungu aturehem
2026-08-22 13:41:26
1
gloriahaule10
Glory wa Yesu :
Mungu aturehemu
2026-08-24 05:46:39
0
user81754681071772
user81754681071772 :
hm
2026-08-24 03:18:16
0
userfanu
Amos Mbaigwa :
Amen mchungaji
2026-08-21 08:55:54
0
user5951126219079
oligver💓 :
Ee mwenyezi Mungu tuhurumie😭😭😭
2026-08-22 21:28:03
0
diacreemmanuel758
Diacre Emmanuel :
Mungu atu epushe na hili janga
2026-08-23 21:19:09
0
casfeta.tayomi.kasulu
mazury :
aise mungu atusaidie sana
2026-08-22 03:48:32
0
user4227684137225
Fabrice mayele :
wazidi tu! bwana anawaona
2026-08-22 05:54:58
0
user5122172584470
user5122172584470 :
kwakwer ni hatar sana jaman ila ninyakat za mwisho kila unabii lazima utimie
2026-08-25 21:46:50
0
user7940023696227
masika :
bana juwa mungu wabo mwenye biko na abundu bila kwa tu Mungu mwenye minajuwa vraimet
2026-08-22 13:13:08
0
boniphacebboniphace61gma
MJUMBE WA KRISTO :
Kila njia aiyendeayo mtu atavuna huwezi kuvuna usipopanda
2026-08-25 11:31:35
0
neyseeh7
neyseeh🫶 :
Dah
2026-08-21 16:24:48
0
gervasmwambene
gervas mwambene :
haina haja ya kushangaa yalishatabiriwa yanaukalibisha ni mwisho soma Ufunuo 22:10-15 kila mtu anachojisikia kufanya afanye sana ili akahukumiwe kwa haki asije akasema anaonewa,
2026-08-23 11:41:54
0
mafundishoyautakatifu
Walter Moses Mrisha :
yanayoendelea katika makanisa yanasikitisha. Ndio maana imetupasa kweli kuyakemea, maana tusipoyakemea sasa itakuwaje? kizazi hiki kitakuwa vipi? Imani hii ya kweli itachafuliwa hata lini? Bwana ataanza kuhukumu watu wake kabla ya mataifa, na ni hatari sana kuanguka juu ya mkono wa hukumu ya Bwana. Kristo yu karibu. TUTUBU!
2026-08-22 10:45:19
1
user7940023696227
masika :
makanisa za siku za mwisho aaaaa mungu saidiya taifa yako
2026-08-22 13:10:14
0
edisatariye
YESU KRISTO NI MUNGU :
Hee! kanisa limegeuka bar Yesu Kristo tuokoe wanadamu wengi wanaangamia naogopa hadi kutazama .
2026-08-21 10:31:50
0
jobaluminiumbalco
Job Aluminiumbalcony :
tulifikia sio pazuli kabisa
2026-08-21 10:04:29
0
samuelmunywoki1
samuelmunywoki1 :
ooh My Holy God , please forgive them ,
2026-08-27 07:23:43
0
masasikajeliwa
masasikajeliwa2187@ :
Baba mchungaji fanya kazi bila was was Mungu yuko na wewe
2026-08-21 10:50:58
0
elishaelia360
Cometland Empire :
pastor nakupa pole unajitahidi kukemea ila bahati mbaya dunia ipo kwenye mzunguko ambao sio maneno wala kafara ya kiumbe yeyote zaidi ya masihi anaeweza kuokoa
2026-08-21 10:05:02
0
motto.abuu
THE EYE OF GOD :
kuzimu inatenda kazi sasa watu wamekua mawakala wa kuzimu bila kujua Ee Mungu tusaidie wanao tuliyobakia maana tumekua kama koondoo ndani ya mbwa mwitu tunahitaji msaada wako Yesu 😭😭😭😭😭
2026-08-21 11:09:20
1
khamis7314
khamis :
2026-08-21 09:01:09
0
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About