@cityperfume_dsm: Vanille Bouquet 🤍✨❤️ Harufu ya mwanamke anayependa kuwa soft, sweet na classy. 😋😘 Mchanganyiko wa citrus fresh, vanilla creamy, amber na white musk unaacha aura ya kike, ya kuvutia na yenye elegance. 😍 Ni perfume ambayo ukipita, mtu anajiuliza… “Huyu ananukia nini?” 🥰✨ 🚚Delivery tunafanya ndani na nje ya DSM 📞call / whatsapp 0714171894 #cityperfume_dsm #fyp #goviral #trendingvideo #perfume