kuna mtu kaja kuangaria biashara inayo lipa alaf watu ndo hawapo seriously kabisaa
2026-08-22 17:17:29
106
kabint special :
kujiuza
2026-08-22 15:35:19
59
Mwana harakati ✍️ :
Dodoma biashara ni Moja tu Pango na ARDHI basi hazina Kodi wala nini Jenga vyumba vyako 10 Kila 1 Kodi laki tu au 120,000 tulia Kwa mwezi una 1.4ml au Nunua viwanja kama 10 Kila kiwanja baada ya mwezi kinakupa faida ya 1ml faida yake ongeza vyumba vya KUPANGISHA
2026-09-21 06:59:01
35
👷𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗧𝗨👷 :
VIFAA VYA UJENZI NA ELECTRICAL ukifa mackini upende ww
2026-08-23 16:56:45
33
Nisha :
Udalali ukiwaona madalali kama watu wa system
2026-08-22 16:24:20
37
miss💥 :
Natafuta rafiki wa kike nipo dodoma na uwe rafiki wa peke angu 😁😁 kama uko hapa njoo dm shart usiwe mnene nakusubili bff
2026-09-27 08:38:28
7
niffer🦋 :
ila comment section🙌😂 enewei nataka rafiki wa dodoma ambae hana nida tukatafute wote ata mm sina😂😂
2026-09-04 10:08:04
8
saloრe 🇹🇿🌹 :
furuu
2026-08-22 12:41:15
11
Fey_Mah Home decoration Dodoma :
Ila hz comment 😂😂
2026-08-22 15:40:14
5
Davoo ze Greta :
saidia fundi,,,wanangu WAMAZITO
2026-08-23 06:33:42
22
Officialnkonya194 :
biashara ya palachch kutoka ngara kagera tanzania
2026-08-21 15:41:41
5
jayden :
dodoma ni mji ambayo xiji kwenda kuishi Tena ulinikomoa kufanya na kiuchumi
2026-08-22 18:53:16
9
DALALI DODOMA GABBY :
Machungwa Kutoka Muheza 100 100😂😂
2026-08-23 20:22:51
6
@SABALE_07 :
kila kitu kinalipa pale ambapo ukiwa serous na ukimshikikisha MUNGU🙏
2026-08-30 07:03:01
14
pitermpina@1986 :
nyumba za kupangisha zinalipa sana kwa sasa
2026-09-23 09:20:49
5
user6209450459371 :
kujiuza
2026-08-21 14:34:20
17
me reyma :
juice
2026-08-21 12:36:20
7
nipher🥰🥰 :
kuuza bia2 hakuna kinginee maan huku maboss wanalewa Kila day hakuna weekend huku Kila day bata2🤣😁😁
2026-08-21 14:51:34
10
Tulito maasai media📸 📷🎥🇹🇿 :
mambo ya furniture ju Dodoma wahamiaji ndo wengi kulikoni wazawa wanafunzi waajiriwa kwhiyo furniture ni muhimu na nyumba za kupangisha 🤔🤔🤔🤔
2026-08-23 17:27:20
7
k :
Wi-Fi ya system
2026-08-25 17:29:38
5
mouth gaps 😅 :
ya mboga za majini vijani vi 3 vya maboga ni shilingi 250
2026-08-24 13:12:37
9
Ivan mechanic🔧🛠⚙️🏋♀️ :
Biashara yeyote mkuu
2026-08-21 14:44:00
6
To see more videos from user @visitdodoma_hub, please go to the Tikwm
homepage.