Ndomana sipendi kutembea ovyo mtu utajikuta upo uku bila kujua🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 05:53:05
14
Rosemary mwita :
mh mi sion
2026-08-22 17:04:54
0
Hasheem Ahmed :
Guuudbaii
2026-08-22 17:13:54
0
Mrs💜S🦋 :
vitu vya.x wangu
2026-08-22 08:47:20
7
user6838459854078 :
kamera Mani Asante sana mungu akuweke mbeleni
2026-08-22 17:14:58
3
sheymah :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbon kam mm huyo
2026-08-22 14:55:26
2
Neema mgalu :
baba watoto usiangalie basii🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 15:36:17
2
bishop.ludq🏝️ :
hii video ita nisukuma ad mwez wakumi😆😆😆
2026-08-22 18:28:30
1
Neema John :
jaman live hii
2026-08-22 06:17:52
3
king chriss 10🤴🥷❤🌏 :
vitu vyangu kabisa ivy 😂😂
2026-08-22 16:09:09
2
Maufi zombie :
anayalazimisha
2026-08-22 16:02:32
1
orderly🙊🙈 :
😆😅😆daaah
2026-08-22 04:44:57
0
everina :
😳
2026-08-22 07:01:22
1
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu