jamn uyu dad mbn sijamuon kweny menkwa school au macho yangu2
2026-08-27 16:18:54
11
hansy fussy :
30/40
2026-08-21 14:08:52
21
lazaro furnitur smart 👏 :
ko ww hujaona network inasoma 5G ama🤣🤣🤣
2026-08-21 20:50:14
52
🦋💙Official Zija🦋💙🦋 :
10/10♥️♥️
2026-11-03 12:06:01
0
MHANGA Dylan Official :
@mary usinisingizie nilikuwa nahitaji
2026-08-27 02:38:48
4
herry :
nipe mimi kama yeye ataki 🤣🤣🤣
2026-08-23 10:37:18
7
jay :
vitu vingine bwana
2026-10-27 21:18:08
1
Spy_G'7 official 🎻🎸 :
Jamani ukwelii usemwe huyu mary michael ni mrembo saaana aisee, nahisi ndoto yangu ni yeye ata kuwa tu marafki,., mary kijna wa watu huku, akili na moyo umempora.
2026-08-22 13:36:19
7
Bm :
Nilikuwa naitaj lakini nilijikaza usije akalibu ivulana wangu 😋😎
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.. . .
2026-08-24 10:32:14
1
Mahela Luchiba Mahela :
mta tumalizia Ng'ombe zetu jamani😂😂mambo ya kutegana tena
2026-08-23 15:46:37
1
To see more videos from user @marymichael__, please go to the Tikwm
homepage.