@mudyblack_:

MUDYBLACK
MUDYBLACK
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 12:09:22 GMT
320734
34268
282
250

Music

Download

Comments

thereallybmb
BMB :
I personally enjoy and love watching you on a daily basis whenever you post something, and all contents are always in an educational way, which very good and enjoyable. But ungejaribu hata kuchenji the kind of contents you make or create coz we definitely need to taste something new and tangible coz your contents are technically identical or the same. Jaribu kubadilisha contents coz idea yako for now ni moja tu. Thank you.
2026-08-22 07:47:02
0
ali.omari496
Ali Omari :
part 2,3,4,5,6&7
2026-08-22 11:58:57
0
no.sex05
No Sex :
next please
2026-08-22 04:07:38
1
walterwanjala627
Walter Wanjala :
hakuna kitu mwanaume hupenda kama kukaa na mtoto wake
2026-08-22 06:08:17
25
jahcitizen254
𝕁𝔸ℍℂ𝕀𝕋𝕀ℤ𝔼ℕ254 :
The best thing ever kuniletea mtoto wangu
2026-08-22 01:16:41
2
aishan.mwalule
Aishan mwalule :
wanaume sijui wapoje wakiwapa mtt unambiwa nisije kukuona tena, arafu akikwachia yey anataka aje muda wowote nachoka mie
2026-08-22 05:56:42
17
the.nganga0
the Nganga :
Big dad 💕🫂
2026-08-22 00:43:08
1
user3568404179557
Famme Africaine :
next part please 🙏
2026-08-22 13:14:13
0
clever9140
clever9 :
mm naamin hakuna mwanamme anaechukia dam yake ila matatizo yapo kwa ma ex wao
2026-08-21 16:28:50
77
user5597165481303
King salo :
hakuna kitu na frahia kama mwana mke kuniachia mtt/watt akidhan amenikomoa
2026-08-21 21:09:16
26
user3581639305799
da emmy😘 :
niliacha Mume kisa hiz mambo ujinga huo siwez
2026-08-22 02:31:27
8
user5815679966056
ASIYA SHOMAR :
Duh siwez kumuacha mtoto wangu bora niache ndoa
2026-08-22 07:14:47
12
zuuh2051
Mrs p🦋 :
najiona kbs kwenye hii hali😂😂
2026-08-22 01:18:53
5
agego09
AgeGo :
njoo baba!!?
2026-08-21 16:55:24
6
user6569711426707
Reekado banks :
BIG UP sana kaka
2026-08-21 17:16:17
12
martha.saidi
Martha saidi :
Mimi siwezi kumuacha mwanangu kisa ndoa nataka Nita acha ndoa nitakufa na wanangu
2026-08-21 23:50:22
11
user9611706262520
mwana wa willy :
siwezi acha mwanangu Mimi kisa mwanaume hamtaki Bora nilee mwenyewe bila mwanaume
2026-08-21 19:21:37
12
keshiy1995
kigoma kwetu :
nakubali kaka nimekuelewa sana
2026-08-21 15:05:48
8
user3361291700356
Marry Massawe :
Bora niwe single tu nilee mtoto wangu jamni
2026-08-22 06:28:17
9
ammy.boka
Minaah herbs 🌿 :
Anae weza apeleke tu kwakweli me napenda single dady wateseke kulea
2026-08-21 19:33:40
10
zainab96085
zai :
hutaki mtoto wangu hata hiyo ndoa yenyewe staki ukinipenda penda na wanangu
2026-08-21 22:12:01
5
florianabel5
FLORIAN CHUNGA :
siwezi kujiuliza maswali mara mbili nikiletewa mwanangu na mke ambaye labda tuli achana,, pokea mtoto mtengenezee mazingira,, uta nishukuru badae
2026-08-21 15:01:36
13
stellahkusaduka
Stellah :
hapo kwenye pesa zake nazitaka pia
2026-08-22 09:33:47
2
user4296173650508
Désiré Chonakoze :
suite
2026-08-22 05:22:09
1
julienkilimundaco
julienkilimundaco :
ma fille, mon combat
2026-08-22 05:52:15
1
To see more videos from user @mudyblack_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About