@salummhoja: Alama ya kudhihiri Imam Mahdi a.s kuangamizwa kwa dini zote isipokuwa Islam. هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَىٰ وَدِينِ الْحَقِّ لِيُظْهِرَهُ عَلَى الدِّينِ كُلِّهِ وَلَوْ كَرِهَ الْمُشْرِكُونَ (سورة التوبة: 33، وسورة الصف: 9). #Ahmadiyya #khalifaofislam #islamic_video #tanzaniantiktok🇹🇿 #jalsasalanatz2026

SALUM PATRICK MHOJA
SALUM PATRICK MHOJA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 12:23:25 GMT
1988
258
33
15

Music

Download

Comments

abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
ana bakiyyatullahi fii ardhwihi
2026-08-28 21:50:21
2
azezsh0
AZEZ-SH :
2026-08-21 12:43:03
2
muhibbussalaam5
MUHIBBU-SSALAAM :
Masha Allah Alhamdulillah
2026-08-21 13:06:22
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
hakika tumekwisha bainisha katika hii Kur Ani ili wapate kukumbuka duniya nzima lakini Kur Ani wengine inawafanya kuwa mbali nayo
2026-08-28 22:24:18
2
suleimankibet149
SuleimanKibet149🇰🇪 :
2026-08-25 04:11:52
1
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
tunalotaka kuangamiza mji tunawaamrisha wapenda anasa wake lakini wapenda anasa hao bado wanaendeleya kufanya maovu duniyani katika mji huo na tukaungamiza maangamivu makubwa
2026-08-28 22:04:25
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
ewe imamu mahadi na uwainamishiye waumini bawa la unyenyekevu kwa kuwaoneya huruma na useme mola wangu warehemu na uwaseme kwa sababu ni wadhaifu mbele yako mola wetu
2026-08-28 22:08:30
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
ana hujjatullah almahadiyyi ni muwakilishi wa Allah na ni hoja ya Allah kwa mitume wake wote duniya nzima juweni kuwa imamu mahadi Allah anataka muweza kitu kimoja
2026-08-28 21:52:10
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
sema ewe imamu mahadi ambaye upo tanzaniya Lau kama wangelikuwepo naye miungu wengine kama mnavyosema basi wangelitafuta njiya ya kumfikiya kwenye AR shi mola wetu ametakasika na hayo wanayosema na ametukuka mola wetu juu kabisa na hayo mnayoyasema
2026-08-28 22:28:44
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
sema ewe imamu imamu mahadi haya ombeni duniyani kwa hao mnaodai badala yake mola wenu hao mnaowaomba hawawezi kuwaleteya madhara Wala kuyabadilisha hao mnaowaomba wao wenyewe wanatafuta njiya ya kujikurubisha kwa mola wao hata waliokatibu miongoni mwenu na wanataraji rehma zake na wanaihofu adhabu ya mola wenu hakika adhabu ya mola wenu ni yakuchukuliwa tahadhari
2026-08-28 22:45:28
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
isipokuwa umeonyeshwa ishara za mola wako usiku mmoja na kurekebishwa usiku huo isipokuwa hiyo uliyoonyeshwa ni rehma itokayo kwa mola wako hakika fadhila yake mola wako kwako wewe imamu mahadi ni kubwa sema kwa waja wangu ewe imamu mahadi Lau wangelikusanyika watu duniya nzima na majini ili walete mfano mwengine wa hii Kur Ani basi juwa hawataleta mfano wa hii Kur Ani hata wakisaidiyana majini na watu hawataweza na hakika tumewaeleza watu katika hii Kur Ani kwa kila mfano lakini watu wengi wamekataa isipokuwa kuwa kukanusha TU Kur Ani iliyotoka kwa mola wenu iliyokuja na mtume wake muhammadi
2026-08-28 23:23:08
1
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
na tulipokwambiya wewe imamu mahadi kuwa tumekwisha wazunguuka watu wote duniyani na hatukuifanya ndoto tuliyokuonyesha wewe imamu mahadi ila ni fitna na ni majaribu kwa watu
2026-08-28 22:50:11
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
je mmeaminisha kuwa mola wenu hataweza kuwaangamiza na kuwadidimiza upande wa nchi kavu au kuwaleteya tufani la kokoto Kisha msipate wa kumtegemeya au duniya nzima mmeaminisha kuwa hatawarudisha humo mola wenu mara nyengine Kisha awapelekee kimbunga Cha upepo Kisha awazamishe kwa mlivyokufuru duniyani Kisha msipate wa kutufuatiliya
2026-08-28 23:08:28
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
na waja wangu wanakuuluza wewe imamu mahadi kuhusu roho sema roho inatoka na amri ya mola wangu nanyi hamkupewa katika elimu ya mola wangu ila kidogo TU na tungelipenda wewe imamu mahadi tungeliyaondowa hayo tuliyokupa wahyi Kisha wewe imamu mahadi usingelipata wa Kili juu ya haya tuliyokuonyesha usiku mmoja kwa kukurekebisa usiku mmoja
2026-08-28 23:14:32
2
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
anal imamu mahadi min tanzaniya man yansurunii
2026-08-28 21:49:47
2
shaban20301
Shaban :
💕💕💕
2026-08-24 17:53:26
1
azezsh0
AZEZ-SH :
🥰🥰🥰🌷🌷🌷❤️❤️❤️
2026-08-21 12:43:09
2
To see more videos from user @salummhoja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About