mimi nilishasemaga siwezi kumuacha mozee vibe kama ikitokea nimefanikiwa coz tumetoka mbali sana
2026-08-23 19:05:52
1
official PHONCE🇹🇿🎙 :
mimi siku pingi kaka
2026-08-21 19:09:44
1
LUNGWA BEATS :
daaah ndiyo wasanii walivyo kaka
2026-08-23 13:05:15
1
falih boy :
🔥🔥🔥pamoja sana
2026-08-21 17:31:26
1
Kim Touch :
iyo iiinanoa san.
2026-08-22 08:09:07
1
skywizzytz :
Sema nimecheka kama mazur namimi nikiwemo 😁😁😂
2026-08-23 06:12:54
1
meroizi :
iyo sio poa sana
2026-08-21 20:50:18
1
Rain Bless :
Kama mwanamke anakukubali akiwa hana mwelekeo
akipata anakuacha
2026-08-21 14:03:22
1
Mapozi bhai Singamu :
poleni sana kwa changamoto hiyo pia hatasisi wasanii tunapitia changamoto nyingi kupitia nyinyi maproduze japo na sisi wasnii kwahiro sio fea hata kidogo inaumiza sana tubadilike tukumbukane
2026-08-21 17:30:32
1
OxYgEn_F3 :
shida bro kuna ki2 cc kama wasanii tunaitaj alaf prdcr wako ana
2026-08-21 17:59:51
1
KISEMEO Africa :
Hii ishu inauma zaidi ya kusalitiwa kimapenzi 🙌
2026-08-24 09:24:31
0
PanduOfficialTz :
Kweli kabisa Mr teacher ✊💯
2026-08-22 07:53:58
1
Rish lyrics :
BRO MI SINA HATA PRODUCER WAKUFANYA KAZI NAMIMI ILA KWELI WASANII TUPOGO HIVYO
2026-08-21 17:33:02
1
G_Price Tz :
ipo sahihi🤣🤣🤣
2026-08-21 16:54:41
1
WEKA2WEKE :
asee kiongozi unatusaidia sana jamaa Sasa Mimi naomba nikuulize ety Ngoma zangu nikitazama no kwenye bomplay naona zipo tofauti na kwenye dashboard hiv shida ni Nini au imekaaje hii ndugu
2026-08-21 12:37:53
0
MekhaJiniii :
wanazingua kaka
2026-08-21 12:47:22
1
Starfordfox :
ila si anakuwa alikulipa
2026-08-24 09:34:12
1
ABBUH :
✌️✌️✌️
2026-08-21 13:47:20
1
Edwin_ benedicto :
🙏🙏🙏
2026-08-21 12:45:06
1
Dogo mbili.Tz :
🔥🔥🔥
2026-08-21 13:07:53
1
nice melody tz🇹🇿 :
😂😂😂
2026-08-23 17:46:13
1
To see more videos from user @billionairemindset_agenc, please go to the Tikwm
homepage.