@mi_witty: Twinflames #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #creatorsearchinsights2026 #fyppppppppppppppppppppppp #viral2026

Wity
Wity
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 12:30:58 GMT
9446
766
37
94

Music

Download

Comments

symply__dijah
Symply_dijah :
Acha nahisi kufariki🤣🤣🤣
2026-08-21 12:46:26
6
kaylolo32
kaylolo🤏 :
yani sikuiz najua adi watu wale wa kusoma kadi🤣🤣🤣😂😂😂
2026-08-22 04:45:02
1
user7810021792102
user7810021792102 :
sa m mbn iyo karmic ndo Kila mara jmn nifanyaje
2026-08-21 18:40:45
1
uniquelily4
Unique lily :
Mahusiano yangu kabisa😂😂
2026-08-21 17:37:28
0
cate_2554
cate255 :
so mnaachn au ukiamka mnaendelea
2026-08-21 21:00:20
1
naanad257
naanad257 :
sasa nimeelewa
2026-08-22 06:41:07
0
smichael251
SMichael25 :
ya kwangu mie mbona sijioni kokote kwenye ili usihano langu 😂😂😂
2026-08-21 17:03:24
1
1201elli
jayline quick :
mbona unanizungumzia eti dah
2026-08-21 16:20:51
1
yasintampanda8
freesoul💦 :
Weee achatu usinikumbushe mimi mpaka wanasailology niliwatafuta ilikuwa kudata kabisa hakuna ranging niliacha kiona ila nilipokaa sawa nili question kila kitu imani yangu maisha yangu nikajua Mimi ni nani nyota gaming natakiwa niishije nisibabaishwe na mtu nijichague mimi kwanza ndio wengine wafuate ndipo nilianza kuona angel number kujua life pass yangu
2026-08-21 19:57:14
1
rotikensam197
@Rotiken Jr :
mbona hata yangu sijui ni gani😂
2026-08-22 05:45:42
0
sashersashersasher
sasherschöne25 :
Me sitaki kumpenda mtu kwakwel wanipende tu
2026-08-22 00:45:12
0
user45014619503817
user45014619503817 :
facts
2026-08-21 15:36:11
0
user1250925425315
J A N E T H🦋 :
iyo karmic ni kiboko
2026-08-21 21:02:08
0
raydamiani1
raydamiani5 :
aya ndo niliyonayo sasa
2026-08-21 20:28:36
0
user58234071385626
user58234071385626 :
hiyo ndio hali ninayopitia
2026-08-22 00:55:27
0
charlescharles3265
Charles Charles :
sasa hiv mwamke hawezi nidanganya labda mm mwenyewe niamue kudanganywa
2026-08-21 21:00:42
0
bangtangirltz
Zakia Amran🤍 :
nilikuwa nachanganya karmic na twinfkames ila shajua
2026-08-22 06:30:44
0
user2278876701361
Allu :
Sasa @wity hapo nawaza hapo Kwa twin flame akishakupa hizo wakening je yeye atakuelewa kweli? Nahisi hii ndio life style yangu kwa sasa ila je huyu ndugu yeye atanielewa kweli maana ukiamka unakuwa mtu mwingine kabisa yoooooooooo😁😁😁
2026-08-21 20:34:50
0
baraka_madini
Baraka_madini💎💸 :
ila wewe nomaa sanaa
2026-08-21 20:12:11
0
huridahasila
Nayona the Queen :
good info
2026-08-21 19:59:55
0
alfani.leopard
Alfani Leopard :
yaniumenilenga mimi❤️
2026-08-21 19:47:54
0
queenjojo246
queenjojo :
Ndio ninachopitia sasa hivi nyie duh
2026-08-21 19:23:24
0
edina.charles03
Edina Charles :
kweli kabisa
2026-08-21 18:26:29
0
To see more videos from user @mi_witty, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About