@bbcnewsswahili: Mahakama Kuu imesema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini huku Lissu akisema atajitetea mwenyewe na kuwa shahidi wa kwanza. Ameomba pia mahakama iwaite mashahidi 11, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, viongozi wa zamani wa serikali na usalama, pamoja na viongozi wa CHADEMA. Hata hivyo tayari kuna mapingamizi juu ya baadhi ya mshahidi hao kuitwa. Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka imesema mashahidi namba 1 hadi 7 wasiruhusiwe kuja kutoa ushahidi. Mwandishi wa BBC @frankmavura na maelezo zaidi. 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #tunduLissu #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 13:11:04 GMT
110695
6195
104
138

Music

Download

Comments

elizabethntandu6
leezabeth29🇿🇦 :
mtu flani hivi anajuwa sheria Singida oyeeee 🙌🖐️❤️❤️❤️
2026-08-21 13:55:39
47
sonni_og
sonni_og :
Lissu akiwa raisi tutaenjoy sana watanzania😁
2026-08-21 13:59:29
94
esmile_69
E'smilē :
One day everything will be oky✌✊
2026-08-21 15:07:09
2
ryptokid
web3 generation :
kati ya mashaidi hao kuna mmoja au wawili hivi wako na hali hii
2026-08-21 14:24:49
24
hysonkabimbi
Hyson kabimbi :
big brain
2026-08-21 16:15:31
1
draick.bavon
Draick Bavon :
President 💪
2026-08-21 16:47:15
0
divdora1
Divdora🧢 :
Siku nenda siku rudi Huyu ndie atakuwa rais wa Tanzania hii 2030
2026-08-21 15:11:42
15
bbysabrina0
AlikoAlikanto :
Mr blue
2026-08-21 16:35:56
1
regan.allen28
regan allen :
Mungu Alitupa Lisu ili tujifunze kwa haya niliyojifunza kupitia Lisu Lazima Mtoto wangu Asomee Sheria 🙌🙏✈️
2026-08-21 14:15:45
5
hamisiomary348
hamisiomary348 :
haiwezekani
2026-08-21 13:42:11
3
geoffreyserede
Geoffrey Serede :
Mahakama pumbavu kabisa. Mwenyezi Mungu mnasue kigogo Lisu kutokana na hujuma hii
2026-08-21 15:24:28
3
bochii.ledi
bochii.ledie :
Hii kesi ukiisikiliza inaumiza San 🥺
2026-08-21 14:58:26
2
wakojozaji.tz.com
WAKOJOZAJI :
Movi inaitwaje??
2026-08-21 15:56:28
0
kimlexbeats
Kimlex Beats :
kuna kitu apa akipo sawa...🤔
2026-08-21 13:47:24
4
iamkarbi_
𝔎𝔞𝔯𝔟𝔦_ :
Lissu nae wa kuogopwa sana
2026-08-21 15:56:27
0
charity4718
Charity :
natamani kurudi shule nijue sheria cjui kama nitamaliza maan hii kesi imenifunza kitu cha pekee
2026-08-21 16:13:22
3
comrade_k24
kaka uchebe :
alioo!!!
2026-08-21 15:47:48
1
greth.alvin800
greth alvin :
Mungu anaeishi ndani yake ndie atakae muongoza lisu Mungu na ampe hekima na afya njema (ushindi u karibu)
2026-08-21 13:47:56
4
joneskamugisha
#baba myrla :
kama mashahidi wa serikali wanajigonga gonga vile hiyo kesi ya kujibu inatoka wapi
2026-08-21 16:33:20
4
twevethegreat
twevethegreat :
tulitaman tupate fulsa ya kushuhufia maojiano yote tujilizishe sasa kwann walizuia ila ukwel ni kuwa matukio ya uchaguzi mzee alikuwa ndani
2026-08-21 13:50:10
2
baraka_984
Baraka 🪖 :
Free Lissu, Mungu akutetee ktk haya unayopitia.. 😌✊✌️
2026-08-21 13:40:59
1
kevinalpha9202
kevinalpha9202 :
Mungu yupo
2026-08-21 13:39:52
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About