@madeh371: Replying to @Caroline Wambua hakika 🙏🏼❤️😭💪

Madattah🥷💦🦋g
Madattah🥷💦🦋g
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 13:11:44 GMT
58022
5923
185
234

Music

Download

Comments

hamida.juma.ramad
ammy mpolee :
kwaiman kila kitu kina wezekana ameen
2026-08-24 16:32:55
1
sarah.nailaka
Sarah nailaka :
God is good 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
2026-08-25 05:34:22
9
pcute12
Ms P❤️ :
in God everything will be fine 🙏🙏
2026-08-26 11:26:58
1
cesiliaurassa
cesiliaurassa :
glory to god 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-26 11:31:28
1
navilsames
aggie🥰🌺🦋 :
I'm proud to be Catholic💕❤️🙏
2026-08-25 12:07:55
0
user6080333983684
Da ime🌹 :
Yan we acha tu Imani yatosha catholic forever 💐💐💐💐🌺💐🙏💖💖💐💐🙏🌿💐💖
2026-08-26 08:27:04
2
tangagirl22
Nana❤️wa tanga🍇🌏🏝 :
sisi wa group O kwakulia jamn 😭dah haki nimelia
2026-08-25 08:34:37
47
user9158185216728
mom v collection🥰🥰 :
sema na roho yangu bwana
2026-08-25 06:36:09
15
maegirl19
Mae girl :
Half kuna mtu anasema hawaelewi Wakatoliki hat sisi huwa hatuwaelewi
2026-08-26 08:08:46
5
user3192065669137
user3192065669137Oscardaughter :
hakika yesu wa ekarist anaponya
2026-08-26 09:41:24
3
jeniphathomas6
jojo🇺🇬 :
kwa imani 🙏🙏 amen
2026-08-24 12:06:14
3
user0693189455
pendo sabugo :
sema neno moja na roho yangu itapona😭😭😭
2026-08-24 16:23:51
15
miss.q5360
madame cath :
😩😩sijui nalia nn
2026-08-24 21:41:35
2
geegmail.com3
🕊Gee💕🕊 :
mpka nimelia aisee😥
2026-08-25 08:03:59
2
user6081758581959
Vero@@💕💕abry :
mungu ni mkuu kwa kila jambo
2026-08-24 17:33:50
5
beatrice.daniel71
Beatrice Daniel :
Amen hii ni nguvu ya iman
2026-08-25 14:16:49
4
cesilia3227
Binti mhikwa💕💕 :
nguvu ya imani, mungu wetu husikia maombi ya kila mtu na pia hujibu kwa wakati🙏🙏
2026-08-25 16:06:40
4
nyemoju
nyemo :
mungu ni mwema sana
2026-08-26 06:03:27
1
user0719756485
mwajuma ally :
sema na roho yangu bwana🥰🥰🥰
2026-08-25 10:36:11
2
msangi095
mamarina💋💕👏 :
Namm napokea 🥰
2026-08-25 11:12:41
2
paulinachomba7
Lina de cute ❤️❤️❤️❤️ :
mungu muweza wa yote
2026-08-25 06:57:34
4
saisova.henry
SaisovaTz :
fatilien hiyo movie ndo mtaelewa
2026-08-25 07:47:44
2
user5886322508119
HellenBony26 :
imenigusa kwakweli
2026-08-25 05:43:43
3
user562878548
Vicky :
huyu mtoto alipata ajali daktar alisema amepata shida ya mgongo kwahiyo hataweza tena kutembea kwa miguu yake aliishi miaka kadhaa akiwa ivyo na hapo pastor wakati anamwambia anyanyuke wazazi wa mtoto walimgombeza sana pastor lakini hakuwajibu kitu aliendelea mpaka bint akatembea kanisa zima lilishangaa kwa Mungu hakuna linalo shindikana🙏🙏🙏
2026-08-26 09:03:07
2
winners78th2
winners👸👸 :
nimeamini maana ya hili.sema neno.moja na loho yangu itapona
2026-08-25 08:10:00
3
To see more videos from user @madeh371, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About