@kanikibrown: Ni vyema kumtanguliza Mungu katika kila jambo, lakini ni hatari kutumia jina la Mungu au dini fulani kwa maslahi binafsi, kujinufaisha au kufanya propaganda za hisia za kisiasa. Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria, hivyo ni lazima kila mmoja aheshimu, atii na kufuata sheria za nchi. Kila jambo linapaswa kufuata taratibu na mkondo wake wa kisheria, bila kujali mtu ana nafasi gani, anatoka upande gani au anatumia jina la dini gani. Tuheshimu imani za watu, tuheshimu sheria na taasisi za nchi, na tuache dini itumike kwa ajili ya kumtukuza Mungu, si kama chombo cha kujinufaisha au kuchochea hisia za kisiasa. 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia
Kaniki Brown
Region: TZ
Friday 21 August 2026 13:21:38 GMT
Music
Download
Comments
Deathbed Doctrines :
Truth sounds like hate for those who hates truth
2026-08-21 13:55:59
0
khamis :
kosa kubwa hili wanalifanya Chadema. Kujipambanua kwamba wao ni Chama cha kikiristo
2026-08-21 14:25:31
19
Emmanuel Sabini Silas :
Kikubwa tuendelee kuheshimu sheria za inchi ili kujiepusha na matatizo mbalimbali.
2026-08-21 14:03:20
8
elly :
Very true
2026-08-21 19:16:13
0
Ahmed Omar :
Sasa Lissu ana wafuasi wa Dini moja tu?
2026-08-21 13:58:12
10
Mullah :
Chadema ni chama la wakristooo, hakuna mtu hajuiii
2026-08-21 16:23:06
4
sada bakir :
maombi Mungu hajayakubali ametenda haki mkubali hapo
2026-08-21 20:01:44
2
user59480082235985 :
ukweli chadema ni chama cha kikristo kabisa
2026-08-21 17:20:27
2
Barakat mussa :
wanakinukisha saiz wanamkejeli mungu😊
2026-08-21 18:48:17
2
shukuboy :
MUNGU ajaleta serikali brother apo serekali imeletwa na wakoloni,
2026-08-21 17:44:49
1
user2151395435610 :
kwisha
2026-08-21 14:10:58
1
kash :
umekosa cha kusema kaka kwani kuomba ana kosa gani ?
2026-08-21 16:56:12
1
user81511241574422 :
kweli chadema ni chama cha wakristo wakatoliki ndio maana Mahakama imeruhusu maombi ya kanisa Mahakamani.Mwenye macho ameona na Mwenye Masikio kasikia.Asanteni Wakrito wa Nchi hii na Mahakama kuu.
2026-08-21 19:25:52
1
mtu wa kale :
mahakama iendelee kutenda haki kila mwenye hatia Na ahukumiwe Kwa mujibu Wa Sheria za nchi
2026-08-21 14:55:06
1
Malimali :
Hii sio!
2026-08-21 16:35:19
1
khamisi falaki :
chadema wahun
2026-08-21 18:54:39
1
Juma Kigoto :
Umeongea point nzuri sana. Inatafakarisha
2026-08-21 20:21:30
0
user4186177245948 :
unaongea ukweli dua yao itawatafuna wenyewe hadi washangae mungu hana utani
2026-08-21 19:35:43
0
Emmanuel Sabini Silas :
Hii ni akili ya kiwango cha juu sana hata mimi nimeshangaa hayo maombi yalikuwa ya aina gani very wonderful.
2026-08-21 14:01:27
10
mohamed marijani :
kweli damu nzito.
2026-08-21 18:50:01
0
john semdoe :
kwani kumuomba mungu nidhambi
2026-08-21 18:50:49
0
rebekasanga5 :
Kuomba ni kosa
2026-08-21 18:49:48
0
shacao :
kumekuchaaa
2026-08-21 20:17:39
0
ASSENGA.COM :
kwahyo ulitaka serekali iletwe na nan??
2026-08-21 20:05:10
0
Afrikast :
Walio leta Dini Afika waliweza Mamae
2026-08-21 18:37:25
1
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm
homepage.