@lkalenga:

Dr Leyla❤️
Dr Leyla❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 14:55:53 GMT
98774
4435
220
230

Music

Download

Comments

chubby1379
Chubby :
Doctor dawa za kupunguza kitambi naweza pata eti
2026-08-21 20:26:05
75
bintyshah_
Bintyshah :
kwahio ww ni Leyla na umeolewa na Abuu😍😁na Mimi ni Leyla nimeolewa na Abuu pia
2026-08-21 17:17:38
78
mechzedeckpangala
Melck joozey :
kwa uo uzuri ata mm ningekesha tu😃😃😃
2026-08-21 20:08:40
33
cathelinaa6547191079176
Catherine 🥰😍 :
mutaachana tu🤣kila penzi litaonja umauti
2026-08-22 09:38:20
1
cutymwanja
cutymwanja :
hongera
2026-08-21 20:05:44
0
stella.emanuel8
Stella Emanuel :
yaani bora usimuonyeshe uko yaani adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie mungu awalinde 🥰🥰🥰😂😂😂
2026-08-21 17:33:35
15
sheyreenrosales0
Sheyreen Rosales :
Hadi raha mashallah
2026-08-21 21:13:33
4
adorablelovee4
I’m tee :
Han la kufanya 😁
2026-08-21 20:13:31
4
chioma8451019103
chioma ❤️ :
wangu hata kunishikia mtoto t niende chooni hataki asema niende nae 🥺🥺🥺
2026-08-21 21:50:09
2
tumaini068
Tumaini Godfrey :
wewe ndo me kabisa sisi atujuyi kuteseka kwa ndoa kabisa hala atujaloe zaidi upendo udumu
2026-08-21 17:30:49
9
pampai.kassimu
Pampai Kassimu :
weleilawewetena
2026-08-22 09:51:42
0
khalfanmuhamed
khalfan balolo :
allah abarik afya njema🥰
2026-08-21 21:29:39
1
yourbeautyourhappyness
furaha beauty :
hongera darling mpende kwel kweli wengine huku changamoto 😢
2026-08-21 16:53:21
7
ablatlove3
Ablatlove :
mapenz kzn
2026-08-21 22:31:19
0
nadiakisura
كيسورا🦋💕🥀🇹🇿 :
Mashallah 😍
2026-08-21 16:55:13
1
halimaliahmed
@madam h :
Mimi mwalimu mume wangu uwe unakuja unakaa darasani na watoto😊
2026-08-22 07:19:14
0
leylasuleiman58
leylasuleiman58 :
Namesake
2026-08-21 22:01:08
0
usherakida
Ashley Cosmetics96🌺 :
Safiiii sanaaa 🥰
2026-08-22 06:16:36
0
neylatshaaban
Dee°Love❤️ :
etiii ooh usimpost atachukuliwa...Dada atachukuliwa na Who..? atachukuliwa na which..? na atachukuliwa aende wapi😂 em mtuachee watu tulishateseka na mahusiano huko nyuma 🙌 mkiona watu wanafuraha msiwapangie cha kufanyaa😡
2026-08-22 07:01:50
1
neylatshaaban
Dee°Love❤️ :
Hivo vitambi sisi ndo ugonjwa wetu👌🏻 mtukomeee nyie msiovipenda endeleeni kuwapenda hao wakwenu wenye vitumbo kama nyoka😂
2026-08-22 06:56:57
1
user3580534674956
user3580534674956 :
mwalimu wngu ticha abuu tangu fm 1☺️
2026-08-21 17:09:20
3
mon.cherii.cherii
Mon Cherii Cherii :
Dr....
2026-08-21 17:54:23
0
sharifamembe815
Shery Rm😍 :
Tukutane home aisee kazn asje 🙌🙌sitak 😆😆😆😆
2026-08-21 20:37:02
2
To see more videos from user @lkalenga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About