Na kusudi ni lipi??? Kupendana is okay but kupendana alone is not enough let’s normalize putting the point clear
2026-08-21 18:56:18
1
DANIEL®️ :
Hizi gospel jaman. LOVE IS THE GREATEST OF ALL
2026-08-22 05:01:05
1
Noel Migongo :
Mungu ni pendo. Upendo una nguvu kuliko mauti..
Hata kusudi la kukutana hubadilika with time and circumstances, love is the only glue that can hold you together
2026-08-21 21:25:48
8
Ltiz :
Pamoja na YOTE , Ikiwemo na kusudi UPENDO ndio KIFUNGO cha ukamilifu.
2026-08-21 20:44:05
15
Dєηηic | тαℓкѕ🍂 :
Pastor, you're so brilliant 🥹🙌
2026-08-22 05:45:15
1
Isaac Gichinga :
Ndoa zirudishwe kwa mikono ya wazazi.
2026-08-21 18:00:33
21
Mr Elisha Cosmas 🎤🎸 :
mimi sijakuelewa Baba
2026-08-21 15:52:33
10
GMStan :
true, love is an illusion
2026-08-22 00:48:05
0
c.e.ofwoshipgathering :
Ameni wooooiiiii🙏
2026-08-22 09:42:48
0
Msangawale 👑Chief :
Unahitaji utulivu wakiroho na hekima kubwa kumuelewa
2026-08-21 18:44:43
10
Sam Nails Tech :
Pointless.Upendo ndio unaanza ata Mungu ni pendo..
2026-08-21 18:52:38
4
LovedByJesus ✝️❤️ :
NDOA HAINA MWALIMU!! Watu hawafanani na kamwe hawatafanana, Ndoa ni taasisi ambayo Mungu mwenyewe aliiweka na yeye pekee ndo mwalimu wake! SASA NDOA BILA UPENDO NI NINI HIKO!???? SIWEZI KUKAA NA MTU NISIEMPENDA MSITUPOTOSHE!!!!
2026-08-22 08:34:57
5
Mm beauty parlour :
Si mlisema upendo ni nguzo jamani🤔🤔
2026-08-21 21:06:45
4
Joseph Noah kashililika :
couple inakuwa blessed na wazazi wa mwili.. wa kiroho ni perception ya Sasa.. ndio maana zamani kulikuwa hakuna ndoa za madhabahuni.. hekima za siku hizi ndio zinatuyumbisha.. je unadhan Babu zetu hawakuwa na ndoa?
2026-08-21 17:11:15
7
user1234 :
Ck hizi cmuelewi kbs, upendo ndo tunda la roho mengine yote yanatokea kwa upendo. Upendo umebeba vitu vingi
2026-08-21 18:41:50
6
modesta modesti :
actually
2026-08-21 15:30:29
2
phynner❤️❤️ :
purpose ya Mungu katika ndoa wakat mwngne inajulikana baada ya kila mtu kujua wapi Mungu amemuitia..kwa mfano male akawa sound engineer na female ni mwimbaj....so kusud laweza kuwa SIFA KWA MUNGU kupitia ndoa ya watu hawa wawili...kungekua na voice note mnenielewa zaid.
2026-08-21 20:23:38
3
7keys dogs kennel :
ukimsikiliza kimwili uto muelewa ila namuelewa sana mana upendo kunamuda unapungua ila ukiangalia kusudi basi amto achana mana unajua kunasehemu MUNGU anataka awapeleke
2026-08-22 00:49:18
2
NAJAJO Lab 🥼 :
Yesu arudi tu tuende huko Kwan huko Ndio hakuna kuoa wala kuolewa
2026-08-22 08:37:30
0
gilbertjulius :
akuna fact..
2026-08-21 19:29:57
3
Favoredmettabel🩵 :
Unaongea fact sana uwiiii🔥🔥🔥
2026-08-21 17:34:26
4
Mr Elisha Cosmas 🎤🎸 :
Ninakuomba sana sana Baba embu fanya mchanganuo wa hi sentesi yako naamini haya nimafunuo ila sasa unapaswa kutupa mchanganuo kabisa ninachokiamini kila mumoja wetu ana anaimani tofauti na anaamini kwakila analolitenda Dahhh kwakweli sijui ulikuwa na maana gani kusema makanisa yaache kufungisha ndoa 🥹🥹🤔🤔🤔kama Mungu amemkutanisha mwanaume na mwanamke inamaana kusudi lipo Baba kiukweli kwasasa Mafundisho yamekuwa Mengi sana na mengine yanapaswa sisi kabra yakuyaweka Moyoni kwanza yanatakiwa tuyatafakari kwasababu katika Biblia Yeremia 1:5 inazungumza kuwa kabra sijakuumba nalikujua so kama alinijua inaamana nikikaa katika njia zake atanipa yeye mwanamke ambae nikisudi lake 🤔🤔 UPENDO ndo Ki ya mahusiano kwasababu Hata Yohana 3:16 inasema Kwamaana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hapa kunaneno Upendo Baba Tunaomba utueleweshe Baba ulikuwa unamaanisha nini....🙏🙏
2026-08-21 18:56:04
2
Chosen💪🥀 :
Ameeeeen
natamani Dunia nzima isikienhii kitu jmn...
VERY POWERFULLY
2026-08-21 18:04:53
1
madam vero💕🦋 :
Nimeelew sana Baba
2026-08-21 18:16:05
1
Usyk 🔨 :
Tupendane-Tuzae -tuishi- tufe tutajua kiama
Amri kuu ni Upendo
2026-08-22 08:51:29
1
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm
homepage.