@hunter_lism: o "Mapenzi ya mpira yakikupanda kichwani, nidhamu yote inayeyuka! 💀 RIP kwa masikio yangu baada ya hilo neno. 🏃♂️ #FootballFanatic #BongoMemes #Messi #Ronaldo #SokaBongo
✧༺ MDU+KUZI ༻✧👽✅
Region: TZ
Friday 21 August 2026 15:14:20 GMT
Music
Download
Comments
angel :
Unajua nacheka kwanini😂😂😂😂
2026-08-29 13:56:37
24
cut Isabella :
msiba tunao na tunatambanao 😂😂😂
2026-08-22 08:25:24
18
Mr.SamTz🙆🙆 :
Unaposti picha yako kali Facebook jirani ana comment eti” kama kesho utapatikana kuna kazi ya kuvuna mahindi” 😅😅
2026-08-30 19:16:52
51
mpondo999 :
😂😂😂 aibu naona mimi maana sikujua kuwa nipo na watu ,nimecheka kwa sauti duuh 😂😂😂😂
2026-08-21 17:46:27
14
Paschem_j099 :
sikuwepo nasijui kitu yeyoote
2026-09-01 16:42:04
12
husseinwangoro925 :
n huo ndo ukaw mwanz w kujitegemea katk maixh yak
2026-08-29 22:04:06
32
Wamitego :
Hiyo kukaa Sawa paka hapatikane mwana sheria
2026-08-24 17:56:37
7
kelvinmanase443 :
nnacho kumbuk mar yamwish
alinikut natafut sare ya shule
kweny wallet yake...🤣🤣🤣
2026-09-02 17:57:39
8
garreto's :
aaaaaah 😂😂😂
2026-08-22 11:37:10
2
Aem Rhodie :
GUDUBAI😅😅
2026-08-30 19:12:01
4
JUNO-KESTAR -GAMER🎮🎮🇹🇿 :
kwenye hiyo vita me ntakuw shahid
2026-08-21 18:09:58
2
Chiba boy :
vita ya idd amini na nyerere
2026-08-28 08:58:50
6
🪖CHAS£R💭🦅 :
Mimi nilimwambia unaliwa nini wew 🥹🙌
2026-09-04 14:38:51
4
Mwakilasa255 :
Kama nakuona ap..
2026-08-27 16:47:45
5
Dk :
yaaan hapo nikuw tayar kwa lolote2
2026-08-26 08:59:45
2
Juma c.kashamba :
Nainawezekana hukulala nyumbani siku hiyo
2026-09-03 19:58:22
2
Gastopa Peter :
ulikuwa mwanzo mgum wakjtgemea
2026-09-04 20:03:01
3
venance :
kilicho nikuta
2026-09-03 11:36:39
1
Ngozi Raia :
unajua ni kwanini nacheka???
2026-09-02 13:34:17
2
Raji jj :
🤣🤣🤣🤣🤣 hyo ni vita ambayo haijawahi tokea apa dunian
2026-08-28 10:35:22
3
🧃🍿mnc✈️🩺🏖️☑️ :
tunadaiwa kwillioni😂😂😂
2026-09-02 18:19:24
1
lenga :
mpaka apo ushakutoa kweny urith
2026-08-24 18:28:47
2
Subby Daniel :
2026-08-21 18:11:06
1
shirima collection :
nachek kama mazur iv
2026-08-30 11:42:41
3
BABA.WAWILI :
LAST DAY TO LIVE OUR HOME😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-01 18:17:55
4
To see more videos from user @hunter_lism, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.