@childneighbour: Replying to @yaoboy23#childneighbour #lifeschool #trending #everyone #creatorsearchinsights

CHILD NEIGHBOUR
CHILD NEIGHBOUR
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 21 August 2026 15:17:28 GMT
254866
12395
394
328

Music

Download

Comments

officialsixphonestore
Six phone store :
kama ofisi ndo hii je madarasa?!😂
2026-08-21 18:07:52
264
kingdavis818
King Davis :
alaf hapa HATA kama daftar lako liko mbal ukiliona unalijua
2026-08-22 07:33:12
373
user7048729353071
user7048729353071 :
Eti hiyo ni office ya walimu...🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 07:33:44
87
user4298216140429
user4298216140429 :
kwa nn kaliweka juu
2026-08-21 15:36:42
28
flexer6145
Musukuma MADINI 💎 💰 💸 :
nicheke kwanza ni mimi kabisa shule yenyewe nilio soma inaitwa nyamwilekelwa duuh🤣🤣😂
2026-08-21 20:29:14
29
furahapeter299
mikii :
mungu anisamehe nilichukua daftari la mtu tumefanana mwandiko nikalijaradia nkaandika jina langu nilikuwa sina daftari la stadi za kazi😂
2026-08-22 05:31:08
42
mariamshahara903
marry :
nakumbuka nilikua dalasa la saba tulikua tuna kimbizana dalasani sasa mwenzangu si akakimbia nnje na mm nikaenda kuegemea mlango kwanguvu ili asiingie dalasani si mwalimi akaja anasukuma mlango aingie na mm nazidi ku uzuiya nikajua ni yule nilie kuwa na kimbizana nae kumbe ni mwalimu kilicho tokea hapo Mungu shahidi🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 05:42:57
23
user82428003122566
happy :
watu mnajua kukumbusha wenzenu mbalii🥰
2026-08-21 17:41:11
28
sheilat.abdallah
mrs H..🥰 :
m nauliza Ile shati inaitwaje kitaalam?😳
2026-08-22 17:00:53
5
liberatha.joseph7
Liberatha Joseph :
nilikuwa naweka hivyo ili niwahi kusahihishwa harafu yanakuja kugeuzwa nakuwa wamwisho nilikuwa nakeleka
2026-08-21 21:15:12
14
user190341406114
ezekielly :
daaaaaaa kanikumbusha mbar atar
2026-08-21 21:05:57
6
fettybeuty5
FettyBeuty :
Mungu wangu wakumbuke walimuu🙌🙌wapambane navumbi lachaki,vumbi ladalasa,vumbi la office 😥🥹
2026-08-22 08:53:57
8
user1720457850734
user1720457850734 :
2026-08-21 17:33:15
5
cute.light3
lightness ❤️ :
mim nilikua nikikusanya daftari badae naenda kulichukua wakatiwakurudishwa likosekane sas nadarasa walishuhudia nimekusanya sikubali kabsa kumbe nilichukua mwenyewe nikaficha
2026-08-21 18:21:25
10
asef_52
Asef :
Gar ya njano yeyot kama kaelewa KWELI hapo aniamby kaelewa nn
2026-08-26 18:48:41
1
tonyjuma2000gmail.com
[email protected] :
daaàh nakumbuka zamani tulipasuwa dirisha usku kwenda kutafta dafta la makosa 🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 13:42:44
3
jumannechamtungi
MUSA SONGE :
Kuna mtu alikuwa anajidai sana anaakili kila siku wakwanza yeye,nikachukua daftar lake kama la hisabati kama jibu lilikua 123 mimi naongeza namba mbele hapo inakuwa sio jibu sahihi.roho mbaya nimeanza zaman.mungu nisamehe
2026-08-24 17:05:19
0
jericho0833
Rosales :
hiyo ni asubuhi ukiwah mpm kabla walimu hawajaanza kufika shule
2026-08-26 10:35:09
1
sophiamohamed359
Sophiescent :
tushafanya sana haya mambo😂
2026-08-22 11:31:31
4
elimkushi
Elibariki julius Mkushi :
😃😄😁😆😅😂 daaaaaa aise
2026-08-23 09:41:28
1
lawrence.woisso
Chambuu electronic :
Off side
2026-08-22 13:38:38
4
said.mhina
Ngoka Jr. :
Et hii tabia nilikuw naifanya lakin sas nimesahau ina maana gan.
2026-08-23 20:54:02
2
herrylucasmweya
Herry l :
daftari 1 masomo 7
2026-08-21 18:06:27
3
machomanne1
🦋🦋macho manne🤓🦋 :
na hawataelew milele
2026-08-21 17:32:18
2
hellensalugag3
hellensalugag :
nilishawahi kuchukuwa daftari la kaka mkuu mwenye akiri nikaenda kuandika upya nilipata 100/100 🤣🤣
2026-08-22 19:01:02
3
To see more videos from user @childneighbour, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About