hamna combati inayovaliwa kirahisi watu wamepambana sana..✊️🪖
2026-08-24 06:38:39
8
fransiscojoseph042 :
Nisaidie na mm nijekuvaa hilo vazibasee natamani sana
2026-08-22 14:18:50
3
Mudathil the great :
siwaping wànang wa FFU respect sana💪💪
2026-08-21 15:55:05
2
muky16 :
apo night one intro pale mnaambiwa aya weka chenja daah anaamka matron mmoja anapigaa hyooo daaah unaweza Lia sana....nyie mshatii tunaupata Kwa tabu sana🫡
2026-08-23 12:22:05
3
salum@luminium :
nawakubali ffu field force unit
2026-08-23 18:24:49
2
DABO KIZZA💸💸💸 :
nahapa naahidi , mbele yamungu Tanzania , nitakulinda mpaka n.k