Magari yapo kwenye foleni ya kukaguliwa tena sio mwaka huu, ni ya muda sana hiyo kipindi mabasi yanaondoka saa kumi na mbili asubuhi, yalikuww yanapangana Kwa ajili ya ukaguzi.
2026-08-21 20:11:59
1
kilistofa myovela :
ally,s shabibi sijaziona😊
2026-08-21 18:09:04
1
.💅🏻me & you🦋🤳 :
Ndo nakupotea itazidi😁
2026-08-21 21:11:54
0
nirah💝💝 :
mhh
2026-08-21 20:27:01
0
Emanuel Benjamen :
hapo ni nje tu weze zingine zipo ndan
2026-08-21 18:10:48
1
Waziri Mussa :
Yani hapo kujua gari ya kwenda kwenu ilipo ni kazi sana, utazungushwa huku na huku mwisho umeachwa na gari,
2026-08-21 18:31:49
1
Agape Munyi :
hapo magari yanakaguriwa kutoka sio kimezidiwa acha uongo, hapo hutoki toki tu
2026-08-21 18:54:15
1
Ukwaju moto🔥🔥 :
kama yanauzwavile
2026-08-21 20:50:26
0
Doreen Willbard :
ila pamependeza sana 🥰🥰🥰
2026-08-21 20:51:42
0
bravo :
wataeshimiana hapo sawa wata wabembeleza wateja sio kuwapigamateke
2026-08-21 20:56:05
0
Rasta kaju :
hapo sawa ss tunataka kodi
2026-08-21 20:40:27
0
wachuoo :
sasa mbona shabby simuoni
2026-08-21 17:11:01
0
Alex James :
apo inabid zingine zijengewe flow ya juu ziwe zinapaki au liongezwe jeng ziwe Zina kaa kweny Lifti jengo kubwa kuliko hilo la sas ilikupunguz foleni
2026-08-21 18:14:14
0
Kalashinkov_uj :
ngj tuone serikal itaamua nn
2026-08-21 15:55:51
0
Emma008 :
boss tilisho kaleta zote
2026-08-21 18:12:43
0
babajesca396 :
gari zinatosha hapo ni getini zinakaguliwa ili zitoke
2026-08-21 18:53:19
0
🗽🚀livingstonetuma🗽 :
Safii
2026-08-21 18:47:55
0
Sadiomane :
Kituo Akujazidiwa Acha Uongo leo kulikuwa na Ukaguzi Apo
2026-08-21 20:21:30
0
Aila❤️❤️ :
an hapo saiv watu wataibiwa hadi wakome😂😂😂😂😂
2026-08-21 21:13:31
0
Baba na Mama Kokuu :
Kazi Kazi 😂🔥🔥🔥
2026-08-21 20:15:40
0
bahariamkombozi61 :
safi sana
2026-08-21 19:59:13
0
Edwin salmon :
bado ujasema , ila kauli moja to ya mkuu wa mkoa anatekeleza maagizo aliyoyaacha Uncle Magu
2026-08-21 20:00:00
0
To see more videos from user @dogodani05, please go to the Tikwm
homepage.