My life mother hates me so much paka sielewi kwanini 😏
2026-08-22 00:08:45
3
I'm her :
I can't wait to be out of this place 😢😢
2026-08-21 18:32:42
2
Judie kyz :
hii ndio inaendelea kwa maisha yangu na nliamua sitawahi enda nyumbani nitaishi maisha yangu😭
2026-08-21 18:42:09
36
Psychological Councilor @Dr. :
sio kweli mama yangu ndio Kila kitu, watu hawataki kuwajali mama zao wakipata matatizo wanahisi wamerogwa na mama zao, Sio kweli mama zetu ndiyo nyota zetu.
2026-08-22 09:53:59
8
Rizen🍒🍒 :
sitaongea kitu nimebaki tu kulia😭😭😭
2026-08-22 06:37:29
10
beautifully :
Is true
2026-08-21 18:42:47
1
MAMAKE LUJAIN :
now i get it i used to wonder
2026-08-21 16:48:05
1
saida.salim :
aaaah.hapo umeongea sisi tunakapitia sana.alafu mama hataki kutuona pamoja kabisaa.akitukuta pamoja.sisi mandugu anakasirika
2026-08-21 17:34:02
13
Nyau fashiontz :
Yan mm nilishaota namwambia mama mbona unapenda kuniarbia mambo yang
2026-08-21 18:14:54
7
Kelvin divoke :
very true
2026-08-21 17:03:08
1
GODSON :
Wengi hawajui hii ,mimi naelewa hii unayo sema ,nimeteseka sana tangu siku nimezaliwa mpaka kutambua mimi nani tayari nimezungukwa na maadui pande zote,, ... queen endelea kufungua watu
2026-08-21 20:30:45
5
Malezibora :
love you dada
2026-08-21 16:23:07
2
Maura maureene :
mimi niliota mama angu mchawi but simuoni kama yupo hivyo
2026-08-22 07:36:51
2
mwende :
Mimi nlijitoa nkatafuta nyumba soko nyumbani sijui Mwisho nliwaona lini
2026-08-22 09:59:43
2
Aisha ayisha :
nalia Mimi😭😭😭inauma sana
2026-08-21 18:01:19
2
Joseph Louis :
tuko wengi kumbe dah sasa hii ikoje? mpaka kuna mda nilishawahi kumlaumu Mungu Baba kunipa mama mchawi
2026-08-21 20:49:51
2
RJ :
So true Yan mm n mamangu tucheka lisaa limoja masaa kumi n Moja yote tumenuniana
2026-08-22 06:07:17
2
ejcute :
sijuii ata nisemee nn uwiii
2026-08-21 16:24:01
4
faith john :
facts🤏
2026-08-21 16:39:15
1
Mbela Naomi :
what if akifa Bado shida itaendelea ama ndo kupona?
2026-08-22 11:59:04
0
Linet Wambui317 :
true
2026-08-21 15:59:35
1
Mbodze :
eenh nkama waniona jinsi nlivo
2026-08-22 07:57:16
1
stelingi wafamily🧸🎀🇧🇷 :
mm nilizania mm tu ndio napitia hayo kumbe tupowengi 🥹🥹😭
2026-08-22 04:00:09
1
Winnie_divine✨ :
Siwezi ongea maisha yangu yalivyo na niliyopitia🙌🙌🙌
2026-08-22 05:21:35
1
Yvonne Respicus :
ngoja ninyamaze mimi ila inaumaa sana
2026-08-21 20:43:44
1
To see more videos from user @therealoceangoddess, please go to the Tikwm
homepage.